Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam FC yamshukia Juma Nyosso

Juma-NyossoNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Azam imepeleka barua rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikiomba wamfungie beki wa Mbeya City, Juma Nyosso, kwa kitendo cha udhalilishaji dhidi ya nahodha wao, John Bocco.

Nyosso alifanya kosa hilo wakati timu yake ilipokubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jumapili iliyopita, tukio lililokemewa vikali kwa watu mbalimbali wakitaka beki huyo aadhibiwe vikali.

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Simba wamuwashia moto Juma Nyosso

Beki wa Mbeya City Juma Nyosso.
Na Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya Gazeti la Championi kutoa picha ya beki wa Mbeya City, Juma Nyosso akionekana kumfanyia ndivyo sivyo straika wa Simba, Elias Maguri, makubwa yameibuka. Uongozi wa Simba na Maguri wote kwa pamoja wametoa kauli juu ya tukio hilo na kulikemea kwa nguvu huku wakilishukuru gazeti hili kwa kutoa picha hizo kwa kuwa Watanzania na jamii nzima imejua...

 

9 years ago

Vijimambo

Juma Nyosso alivyompiga Dole John Bocco





TOA MAONI YAKO JUU YA HII VIDEO MCHEZAJI HUYU KAFUNGIWA MIAKA MIWILI NA FINE MIL 2. JE UNADHANIA WOTE WALITAKIWA KUPEWA ADHABU?.

 

9 years ago

Mwananchi

Azam FC bado yamng’ang’ania Nyosso

Muda mfupi baada ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) kumfungia nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kwa kumdhalilisha mshambuliaji wa Azam FC, John Boko, timu hiyo yenye maskani yake Chamazi, Dar es Salaam imesema suala hilo wanalifuatilia kisheria zaidi.

 

11 years ago

Michuzi

MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE,JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA

Bondia Juma Biglee (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Bondia Jack Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema Inn Chalinze mjini,mkoani Pwani.Biglee alishinda kwa point. Mabondia hao wakitupiana makonde mazito mazito. Bondia Juma Biglee akinyooshwa mkono juu baada ya kumshinda Jack Simela wa Chalinze. Bondia Mwaite Juma (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na  Bondia Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yamshukia Dk. Shein

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesikitishwa na uamuzi wa Rais wa Zanzibar, Dk. Mohamed Ali Shein kumfuta kazi mwanasheria mkuu wa Serikali, Othman Masudi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt Shein aongoza maziko ya Muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na  waislamu na Viongozi kumuombea dua  Muasisi wa CCM  Marehemu Mzee Juma Ameir Juma baada ya kumswalia katika Msikiti wa Abdalla Rashid Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi na amezikwa leo kijijini kwao  Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) pamoja na Viongozi na Waislamu wakibeba Jeneza lenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UCCM yamshukia Maalim Seif

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UCCM), imesema Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, ndiye chokochoko anayeiyumbisha nchi na ikiwa Serikali ya Umoja...

 

11 years ago

GPL

BAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja (kulia) akijaribu kuumiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma. ...Kaseja akiuchukua mpira.…

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

CCM Zanzibar yamshukia Maalim Seif


NA ANTAR SANGALI, ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakina ubia wa sera na CUF katika uendeshaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Sheni.
Msimamo huo wa CCM, imetokana na kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, kudai hivyo, wakati akihojiwa na kituo kimoja cha luninga, hivi karibuni.
Msimamo huo ulitolewa jana na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Itikadi na Uenezi (Zanzibar), Waride Bakari Jabu, wakati akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani