Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yamshukia Dk. Shein

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesikitishwa na uamuzi wa Rais wa Zanzibar, Dk. Mohamed Ali Shein kumfuta kazi mwanasheria mkuu wa Serikali, Othman Masudi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chadema yamshukia Mkuu wa Mkoa Dar

Chadema imekosoa uamuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick kuzuia waendesha bodaboda, bajaji na maguta wasifike Posta kwa kile walichodai kuwa hakufuata kanuni.

 

9 years ago

Mtanzania

Azam FC yamshukia Juma Nyosso

Juma-NyossoNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Azam imepeleka barua rasmi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikiomba wamfungie beki wa Mbeya City, Juma Nyosso, kwa kitendo cha udhalilishaji dhidi ya nahodha wao, John Bocco.

Nyosso alifanya kosa hilo wakati timu yake ilipokubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam, kwenye Uwanja wa Azam Complex, Jumapili iliyopita, tukio lililokemewa vikali kwa watu mbalimbali wakitaka beki huyo aadhibiwe vikali.

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UCCM yamshukia Maalim Seif

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UCCM), imesema Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, ndiye chokochoko anayeiyumbisha nchi na ikiwa Serikali ya Umoja...

 

9 years ago

Mwananchi

Tucta yamshukia Makonda kwa udhalilishaji

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limelaani watendaji wa Serikali katika ngazi mbalimbali kuwakandamiza na kuwadhalilisha wafanyakazi kwa kisingizio cha kaulimbiu ya Rais John Magufuli ya ‘Hapa Kazi Tu’.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

CCM Zanzibar yamshukia Maalim Seif


NA ANTAR SANGALI, ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakina ubia wa sera na CUF katika uendeshaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Sheni.
Msimamo huo wa CCM, imetokana na kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, kudai hivyo, wakati akihojiwa na kituo kimoja cha luninga, hivi karibuni.
Msimamo huo ulitolewa jana na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Itikadi na Uenezi (Zanzibar), Waride Bakari Jabu, wakati akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kambi ya upinzani yamshukia Spika Anne Makinda

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema kauli ya kuudhi iliyotolewa bungeni juzi jioni na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Frederick Werema imekuzwa na kuyumba kwa Kiti cha Spika.

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein aongoza waombolezaji kwenye mazishi ya dada yake, Marehemu Fatma Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi mbali mbali katika mzishi ya Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini...

 

9 years ago

Michuzi

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mjini Bi Waridi Juma akisoma risala ya Wanawake wa Mkoa wa Mjini wakati wa mkutano na Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.Viongozi wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati wa mkutano wake na Viongozi hao uliofanyika Afisi ya CCM Mkoa Amani Zanzibar.Naibu Katibu Mkuu...

 

9 years ago

GPL

MAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA UWT WILAYA YA MJINI UNGUJA KUMUOMBEA KURA DK SHEIN NA DK MAGUFULI‏

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwahutubia Viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Mjini Unguja na kuwaomba kumpigia Kura ya Ndio Mgombea wa Urais wa CCM Dk Ali Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli na Wagombea wote wa CCM. Mke wa Rais wa Zanzibar akiwahutubia Viongozi wa UWT wa Mkoa wa Mjini Unguja wakati wa mkutano wake wa kampeni ya kumuombea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani