Nyosso ampigia simu Maguri
![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzMJNGGXe1DgFSWwD1io*PGCNZYjDt4V*p3ZhHSXf4YkulVbuJfk3cpRkNGt6eCg-MpOiKC8t5pO164kjB0SRN1f/JUMANYOSSOcopy.jpg?width=750)
Beki wa Mbeya City Juma Nyosso. Na Martha Mboma BEKI mkongwe wa Mbeya City, Juma Said Nyosso, amekubali kuwa kitendo alichomfanyia mshambuliaji wa Simba, Elias Maguri na kuonyeshwa na Gazeti la Championi si sahihi, si cha kiungwana na anajuta kupita kiasi. Kutokana na maumivu ya moyo anayoyapata kutokana na kushiriki katika kitendo hicho, Nyosso amefanya mambo mawili, kwanza ni kumpigia simu Maguri na pili kupiga katika ofisi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Jan
Guardiola ampigia simu Messi kwa Siri, amshauri asiondoke Barcelona
PEP Guardola amemshauri mshambuliaji Lionel Messi kubakia Barcelona akimtaka nyota huyo wa Argentina kuwa mtulivu na kuonyesha imani kwa mipango ya kocha wake wa sasa, Luis Enrique.
Wiki iliyopita mchezaji huyo aliyewahi kunyakua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka mara nne, aliweka wazi kuwa huenda akaondoka Camp Nou baada ya kukiri kuwa hajui atakuwa wapi msimu ujao.
Mabingwa wa Ligi Kuu England, Manchester City wamekuwa wakihusishwa na mpango wa kumwaga fedha ili kumnasa mchezaji huyo,...
9 years ago
Habarileo06 Nov
Ngoma ambeza Maguri
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Donald Ngoma, amesema bado hajaona mpinzani wa kumzuia ashindwe kubeba tuzo ya Mfungaji Bora msimu huu baada ya kuizoea Ligi ya Tanzania Bara kwa muda mfupi tangu ajiunge na timu hiyo.
9 years ago
TheCitizen30 Dec
Maguri to leave Stand United
9 years ago
Habarileo28 Oct
Maguri, Busungu waitwa Stars
WASHAMBULIAJI Elias Maguri wa Stand United ya Shinyanga na Malimi Busungu wa Yanga, wameongezwa katika kikosi cha timu ya soka ya Taifa ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini Oman kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria mwezi ujao.
10 years ago
Habarileo09 Aug
Maguri asikitika kutemwa Simba
MSHAMBULIAJI wa Simba, Elius Maguri amesema kitendo cha kuachwa dakika za mwisho kimemuumiza sana ukizingatia amefanya mazoezi kwa kujituma sana Zanzibar.
9 years ago
Habarileo23 Oct
Maguri awatisha nyota wa kigeni
MSHAMBULIAJI Elias Maguri amezidi kuwawashia taa washambuliaji wa kigeni kwenye mbio za kuwania kiatu cha mfungaji bora baada ya juzi kuifungia mabao mawili timu yake.
9 years ago
Habarileo04 Nov
Maguri awatoroka kimtindo Kiiza, Ngoma
MSHAMBULIAJI wa Stand United, Elias Maguri juzi aliiwezesha Stand United kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi Mgambo Shooting wakati alipofunga bao la pekee kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
9 years ago
Habarileo29 Oct
‘Maguri ataisaidia Stars kuiua Algeria’
KOCHA Msaidizi wa Stand United, Athuman Bilali ‘Billo’ amesema Elias Maguri anaweza kuifunga Algeria endapo kocha Boniface Mkwasa atamtumia.
9 years ago
Habarileo02 Oct
Nyosso ajitetea
MCHEZAJI wa timu ya Mbeya City, Juma Said maarufu Nyosso amekitaka Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA), kumsaidia katika kupata haki yake. Beki huyo wa kati amefungiwa na Kamati ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) saa 72 inayofuatilia mwenendo wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu alichoonesha katika mchezo wa timu yake hiyo dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex hivi karibuni.