Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maguri, Busungu waitwa Stars

WASHAMBULIAJI Elias Maguri wa Stand United ya Shinyanga na Malimi Busungu wa Yanga, wameongezwa katika kikosi cha timu ya soka ya Taifa ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini Oman kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria mwezi ujao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Busungu ajipongeza kuitwa Stars

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Malimi Busungu amesema juhudi zake ndizo zilizofanikisha kutimia kwa ndoto zake za siku nyingi za kuitwa kuichezea timu ya taifa, Taifa Stars.

 

9 years ago

Habarileo

‘Maguri ataisaidia Stars kuiua Algeria’

KOCHA Msaidizi wa Stand United, Athuman Bilali ‘Billo’ amesema Elias Maguri anaweza kuifunga Algeria endapo kocha Boniface Mkwasa atamtumia.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

26 WAITWA TAIFA STARS ITAKAYOIVAA BENIN

Wachezaji 26 wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kwa ajili mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya Benin itakayochezwa Oktoba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Kocha Mart Nooij ambaye yuko Cairo, Misri kwenye kongamano la makocha la Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), amesema kikosi cha Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kitaingia kambini Oktoba 6 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Wachezaji walioitwa ni makipa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtiro, Mbonde, Isihaka waitwa Taifa Stars

Mchezaji mkongwe nchini, Abubakar Mtiro amerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars cha kocha Mart Nooij kinachojiandaa kucheza na Swaziland baadaye mwezi huu.

 

10 years ago

GPL

Busungu asaini Yanga

Malimi Busungu akisaini mkataba na timu ya Yanga.
Sweetbert Lukonge na Said Ally
YANGA haitaki masihara hata kidogo linapokuja suala la kukiongezea nguvu kikosi chake! Licha ya vijana hao wa Jangwani kuongoza kwa kufunga mabao 52 katika michezo 26 ya Ligi Kuu Bara msimu uliopita, imeamua kumuongeza mchana nyavu mwingine, anaitwa Malimi Busungu ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili akitokea Mgambo JKT. Yanga imeizidi nguvu...

 

9 years ago

Habarileo

Ngoma ambeza Maguri

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Donald Ngoma, amesema bado hajaona mpinzani wa kumzuia ashindwe kubeba tuzo ya Mfungaji Bora msimu huu baada ya kuizoea Ligi ya Tanzania Bara kwa muda mfupi tangu ajiunge na timu hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Maguri asikitika kutemwa Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Elius Maguri amesema kitendo cha kuachwa dakika za mwisho kimemuumiza sana ukizingatia amefanya mazoezi kwa kujituma sana Zanzibar.

 

9 years ago

TheCitizen

Maguri to leave Stand United

Stand United and national soccer team striker Elias Maguri will part ways with the Shinyanga-based club next year, it has been revealed.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani