Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


22 WAITWA TAIFA STARS KUIKABILI NAMIBIA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

26 WAITWA TAIFA STARS ITAKAYOIVAA BENIN

Wachezaji 26 wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kwa ajili mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya Benin itakayochezwa Oktoba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Kocha Mart Nooij ambaye yuko Cairo, Misri kwenye kongamano la makocha la Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), amesema kikosi cha Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kitaingia kambini Oktoba 6 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Wachezaji walioitwa ni makipa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtiro, Mbonde, Isihaka waitwa Taifa Stars

Mchezaji mkongwe nchini, Abubakar Mtiro amerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars cha kocha Mart Nooij kinachojiandaa kucheza na Swaziland baadaye mwezi huu.

 

11 years ago

GPL

BURUNDI YAWASILI KUIKABILI TAIFA STARS

Timu ya Taifa ya Burundi (Intamba Mu Rugamba). Timu ya Taifa ya Burundi (Intamba Mu Rugamba) inatarajiwa kuwasili nchini kesho (Aprili 24 mwaka huu) saa 12 jioni kwa ndege ya Kenya Airways tayari kwa mechi dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumamosi (Aprili 26 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Intamba Mu Rugamba itakuwa na msafara wa watu 28 wakiwemo wachezaji, benchi la ufundi na viongozi, na itafikia hoteli ya...

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS WATUA WINDHOEK, NAMIBIA

Kikosi cha Stars. Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo alfajiri kwenda Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji itakayochezwa Machi 5 mwaka huu. Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ina msafara wa watu 25 unaoongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Timu imefikia hoteli ya Safari jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yapata sare Namibia

>Pamoja na kusafiri na kikosi cha wachezaji 15, timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ilifanikiwa kutoka sare ya 1-1 na Namibia katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sam Nujoma, Windhoek.

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS YAPATA SARE DHIDI YA WENYEJI NAMIBIA

Kikosi cha Taifa Stars. Taifa Stars imefanikiwa kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji wake Namibia katika mechi ya kirafiki iliyochezwa leo jijini Windhoek. Stars ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao lililofungwa na kiungo mwenye kipaji wa pembeni wa Azam FC, Hamis Mcha maarufu kama Vialli. Vialli alifunga bao hilo zikiwa zimebaki dakika tatu tu mpira kwisha, lakini wenyeji wakasawazisha katika dakika za nyongeza. Bao lao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani