Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAIFA STARS YAPATA SARE DHIDI YA WENYEJI NAMIBIA

Kikosi cha Taifa Stars. Taifa Stars imefanikiwa kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji wake Namibia katika mechi ya kirafiki iliyochezwa leo jijini Windhoek. Stars ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao lililofungwa na kiungo mwenye kipaji wa pembeni wa Azam FC, Hamis Mcha maarufu kama Vialli. Vialli alifunga bao hilo zikiwa zimebaki dakika tatu tu mpira kwisha, lakini wenyeji wakasawazisha katika dakika za nyongeza. Bao lao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yapata sare Namibia

>Pamoja na kusafiri na kikosi cha wachezaji 15, timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ilifanikiwa kutoka sare ya 1-1 na Namibia katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sam Nujoma, Windhoek.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

TAIFA STARS WATUA WINDHOEK, NAMIBIA

Kikosi cha Stars. Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo alfajiri kwenda Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji itakayochezwa Machi 5 mwaka huu. Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ina msafara wa watu 25 unaoongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Timu imefikia hoteli ya Safari jijini...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOKA SARE NA MSUMBIJI

 Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Msumbiji katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mbwana Samatta akiwatoka mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 
Mshambuliaji nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akiwa katikati ya mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior katika mchezo...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS KUREJEA NCHINI KESHO MCHANA KUTOKA NAMIBIA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kurejea nchini kesho (Machi 7 mwaka huu) saa 12.45 jioni kutoka Windhoek, Namibia kwenye mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA.
Taifa Stars ambayo katika mechi hiyo dhidi ya Namibia (Brave Warriors) ilitoka sare ya bao 1-1 itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8.15 mchana kwa ndege ya South Africa Airways.
Timu inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager baada ya kuwasili itakwenda hoteli ya Accomondia kwa ajili...

 

9 years ago

GPL

STARS YATOKA SARE YA BAO 2-2 NA ALGERIA LEO TAIFA

Wachezaji wa Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakishangilia moja ya bao. Mashabiki wakishangilia. Mbwana Samatta akishangilia goli lake alilofunga dhidi ya Algeria. Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeeshindwa kuchomoza  na ushindi baada ya kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 dhidi ya timu ya taifa ya Algeria kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania nafasi ya kupangwa kwenye makundi kwa ajili ya kuwania...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAENDA Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya FIFA

starsKikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo alfajiri kwenda Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji itakayochezwa Machi 5 mwaka huu. Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ina msafara wa watu 25 unaoongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).  Timu imefikia hoteli ya Safari jijini humo. Mechi hiyo itachezwa kwenye Uwanja wa Sam Nujoma, na kikosi cha Taifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani