Taifa Stars yapata sare Namibia
>Pamoja na kusafiri na kikosi cha wachezaji 15, timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ilifanikiwa kutoka sare ya 1-1 na Namibia katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sam Nujoma, Windhoek.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct9BE8xQpt7eYfJ6dxrEFJ1JKpZSf0E72LQlpnXWEtlcyNjPbxo7APfUPt*mrMwrZ5YAfib1nM0Z5QXPb7QbRl5rAOvP-rGI/1group.jpg?width=650)
TAIFA STARS YAPATA SARE DHIDI YA WENYEJI NAMIBIA
Kikosi cha Taifa Stars. Taifa Stars imefanikiwa kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji wake Namibia katika mechi ya kirafiki iliyochezwa leo jijini Windhoek.
Stars ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao lililofungwa na kiungo mwenye kipaji wa pembeni wa Azam FC, Hamis Mcha maarufu kama Vialli. Vialli alifunga bao hilo zikiwa zimebaki dakika tatu tu mpira kwisha, lakini wenyeji wakasawazisha katika dakika za nyongeza. Bao lao...
11 years ago
GPLTAIFA STARS WATUA WINDHOEK, NAMIBIA
Kikosi cha Stars. Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo alfajiri kwenda Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji itakayochezwa Machi 5 mwaka huu. Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ina msafara wa watu 25 unaoongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Timu imefikia hoteli ya Safari jijini...
11 years ago
Michuzi25 Feb
11 years ago
MichuziTAIFA STARS YATOKA SARE NA MSUMBIJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Rl2Xj7ubZAA/U8vri_U6qXI/AAAAAAABDu8/65qx-1LG4x8/s1600/3m.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0XFYoLx4xfs/U8vugvbIsLI/AAAAAAABDv8/iR391BVN1Js/s1600/10s.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-jA7rw-iVOVs/U8vrm2CVgtI/AAAAAAABDvg/6uuy3d0iZJQ/s1600/s7.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-FAalECGdHVM/U8vq4l7BjrI/AAAAAAABDuo/yLpiy2LR4O8/s1600/Pix-3.jpg)
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior katika mchezo...
11 years ago
MichuziTAIFA STARS KUREJEA NCHINI KESHO MCHANA KUTOKA NAMIBIA
Taifa Stars ambayo katika mechi hiyo dhidi ya Namibia (Brave Warriors) ilitoka sare ya bao 1-1 itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8.15 mchana kwa ndege ya South Africa Airways.
Timu inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager baada ya kuwasili itakwenda hoteli ya Accomondia kwa ajili...
9 years ago
GPL![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Maguli-1.jpg)
STARS YATOKA SARE YA BAO 2-2 NA ALGERIA LEO TAIFA
Wachezaji wa Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakishangilia moja ya bao. Mashabiki wakishangilia. Mbwana Samatta akishangilia goli lake alilofunga dhidi ya Algeria. Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeeshindwa kuchomoza na ushindi baada ya kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 dhidi ya timu ya taifa ya Algeria kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania nafasi ya kupangwa kwenye makundi kwa ajili ya kuwania...
11 years ago
Michuzi04 Mar
TAIFA STARS YAENDA Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya FIFA
![stars](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/C73y1CxUg4rVSgwMM3-mTBDmL_vpzWFhKJc4YTxzn05HjFdsBjsCjy10oUIu2SqO_Udzv6pRDS5-8U_e9KZ3Oiq_MOFTTdi_KNQUzJWMOofKgb_lIukI6sY=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/stars.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania