TAIFA STARS YAENDA Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya FIFA
Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo alfajiri kwenda Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji itakayochezwa Machi 5 mwaka huu.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ina msafara wa watu 25 unaoongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
Timu imefikia hoteli ya Safari jijini humo. Mechi hiyo itachezwa kwenye Uwanja wa Sam Nujoma, na kikosi cha Taifa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTAIFA STARS WATUA WINDHOEK, NAMIBIA
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Taifa Stars yapata sare Namibia
11 years ago
Michuzi25 Feb
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct9BE8xQpt7eYfJ6dxrEFJ1JKpZSf0E72LQlpnXWEtlcyNjPbxo7APfUPt*mrMwrZ5YAfib1nM0Z5QXPb7QbRl5rAOvP-rGI/1group.jpg?width=650)
TAIFA STARS YAPATA SARE DHIDI YA WENYEJI NAMIBIA
11 years ago
MichuziTAIFA STARS KUREJEA NCHINI KESHO MCHANA KUTOKA NAMIBIA
Taifa Stars ambayo katika mechi hiyo dhidi ya Namibia (Brave Warriors) ilitoka sare ya bao 1-1 itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8.15 mchana kwa ndege ya South Africa Airways.
Timu inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager baada ya kuwasili itakwenda hoteli ya Accomondia kwa ajili...