Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAIFA STARS WATUA WINDHOEK, NAMIBIA

Kikosi cha Stars. Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo alfajiri kwenda Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji itakayochezwa Machi 5 mwaka huu. Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ina msafara wa watu 25 unaoongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Timu imefikia hoteli ya Safari jijini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAENDA Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya FIFA

starsKikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo alfajiri kwenda Windhoek, Namibia kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya wenyeji itakayochezwa Machi 5 mwaka huu. Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager ina msafara wa watu 25 unaoongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).  Timu imefikia hoteli ya Safari jijini humo. Mechi hiyo itachezwa kwenye Uwanja wa Sam Nujoma, na kikosi cha Taifa...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yapata sare Namibia

>Pamoja na kusafiri na kikosi cha wachezaji 15, timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ilifanikiwa kutoka sare ya 1-1 na Namibia katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sam Nujoma, Windhoek.

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS YAPATA SARE DHIDI YA WENYEJI NAMIBIA

Kikosi cha Taifa Stars. Taifa Stars imefanikiwa kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji wake Namibia katika mechi ya kirafiki iliyochezwa leo jijini Windhoek. Stars ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao lililofungwa na kiungo mwenye kipaji wa pembeni wa Azam FC, Hamis Mcha maarufu kama Vialli. Vialli alifunga bao hilo zikiwa zimebaki dakika tatu tu mpira kwisha, lakini wenyeji wakasawazisha katika dakika za nyongeza. Bao lao...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS KUREJEA NCHINI KESHO MCHANA KUTOKA NAMIBIA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kurejea nchini kesho (Machi 7 mwaka huu) saa 12.45 jioni kutoka Windhoek, Namibia kwenye mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA.
Taifa Stars ambayo katika mechi hiyo dhidi ya Namibia (Brave Warriors) ilitoka sare ya bao 1-1 itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 8.15 mchana kwa ndege ya South Africa Airways.
Timu inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager baada ya kuwasili itakwenda hoteli ya Accomondia kwa ajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani