Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BURUNDI YAWASILI KUIKABILI TAIFA STARS

Timu ya Taifa ya Burundi (Intamba Mu Rugamba). Timu ya Taifa ya Burundi (Intamba Mu Rugamba) inatarajiwa kuwasili nchini kesho (Aprili 24 mwaka huu) saa 12 jioni kwa ndege ya Kenya Airways tayari kwa mechi dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumamosi (Aprili 26 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Intamba Mu Rugamba itakuwa na msafara wa watu 28 wakiwemo wachezaji, benchi la ufundi na viongozi, na itafikia hoteli ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAWASILI BLANTYRE

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager kimewasili salama katika mji wa Blantyre nchini Malawi jioni ya leo tayari kwa mchezo wa marudiano siku dhidi ya wenyji siku ya jumapili.Stars inayonolewa na makocha wazawa Charles Boniface Mkwasa na Hemedi Morocco iliondoka leo kwa usafiri wa shirika la ndege la Fastjet na kuwasili jiji la Lilongwe saa 4 asubuhi kabla ya kuanza safari ya bus kuelekea Blantayre iliyochukua takribani masaa...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAWASILI RUSTENBURG

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imewasili leo mchana majira ya saa 6 kamili katika jiji la Rustenburg na kufikia katika hoteli ya Hunters Rest - Protea iliyoypo pembeni kidogo ya  jiji.
Taifa Stars ambayo iliondoka jana joni jijini Dar es salaam jijini Dar es salaam na kufika OR Tambo saa 5 usiku, ilipata mapokezi mazuri kutoka kwa waandaji wa michuano ya COSAFA pamoja na watanzania wanaoishi jijini humo, ililala katika hoteli ya Southern Sun.
Safari ya kutoka Johannesburg kuelekea...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAWASILI SALAMA JIJINI JOHANNESBURG

Kikosi cha Taifa Stars kimewasili salama jana (Julai 30 mwaka huu) hapa Johannesburg kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kwenda Maputo, Msumbiji kwa ajili ya mechi dhidi ya Mambas itakayochezwa Jumapili. Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager imefanya mazoezi mara mbili leo- asubuhi na jioni kwenye uwanja wa Bedfordview Country Club. Mazoezi ya mwisho yatafanyika kesho asubuhi (Agosti 1 mwaka huu) kabla ya baadaye jioni kuanza safari ya Maputo. Wakati huo huo, Balozi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAIFA STARS YAWASILI BORG EL ARAB, KUWAVAA MISRI KESHO

Msafara wa timu ya Taifa ya Tanzania (taifa Stars) inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Kilimanjaro Premium Lager tayari umewasili salama katika eneo la Borg El Arab jijini Alexandria na kufikia katika hoteli ya Panacea tayari kwa mchezo wake wa kesho.
Taifa Stars ambayo ilikuwa kambini nchini Ethiopia kwa takribani wiki moja, iliondoka jana usiku Addis Ababa  na kuwasili uwanja wa ndege wa Cairo majira ya saa 8 usiku, kisha kuunganisha kwa usafiri wa basi mpaka Borg El Arab takribani...

 

10 years ago

Vijimambo

TAIFA STARS YAWASILI ZANZIBAR TAYARI KUWAKABILI WAGANDA JUMAMOSI

Kocha wa Timu ya Taifa Stars alipowasili bandarini Zanzibar pamoja na Timu ya taifa Taifa StarsWachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars walipowasili bandarini Zanzibar wakisubiri usafiri kuwapeleka hoteliniWachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili visiwani Zanzibar leo tayari kwa mchezo dhidi ya Uganda Jumamosi Uwanja wa Amaan, kuwania kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), michuano inayoshirikisha wachezaji wanaocheza ligi za...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Taifa Stars yanyoosha mikono kwa Burundi

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, juzi ilishindwa kutamba kwa mara nyingine mbele ya Burundi, baada ya kulimwa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyopigwa mjibu Bujumbura....

 

10 years ago

GPL

KOCHA TAIFA STARS ATANGAZA WATAKAOENDA BURUNDI

Kocha wa timu ya Taifa Stars, Mart Nooij akitangaza majina ya wachezaji mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni kocha Mrt Nooij, Meneja wa timu Boniphace Clement pamoja na Dk Emile Richard wakiwa kwenye mkutano na wanahabari.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani