TAIFA STARS YAWASILI BLANTYRE
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager kimewasili salama katika mji wa Blantyre nchini Malawi jioni ya leo tayari kwa mchezo wa marudiano siku dhidi ya wenyji siku ya jumapili.Stars inayonolewa na makocha wazawa Charles Boniface Mkwasa na Hemedi Morocco iliondoka leo kwa usafiri wa shirika la ndege la Fastjet na kuwasili jiji la Lilongwe saa 4 asubuhi kabla ya kuanza safari ya bus kuelekea Blantayre iliyochukua takribani masaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTAIFA STARS YAWASILI RUSTENBURG
Taifa Stars ambayo iliondoka jana joni jijini Dar es salaam jijini Dar es salaam na kufika OR Tambo saa 5 usiku, ilipata mapokezi mazuri kutoka kwa waandaji wa michuano ya COSAFA pamoja na watanzania wanaoishi jijini humo, ililala katika hoteli ya Southern Sun.
Safari ya kutoka Johannesburg kuelekea...
11 years ago
GPLBURUNDI YAWASILI KUIKABILI TAIFA STARS
11 years ago
MichuziTAIFA STARS YAWASILI SALAMA JIJINI JOHANNESBURG
10 years ago
VijimamboTAIFA STARS YAWASILI ZANZIBAR TAYARI KUWAKABILI WAGANDA JUMAMOSI
10 years ago
VijimamboTAIFA STARS YAWASILI BORG EL ARAB, KUWAVAA MISRI KESHO
Taifa Stars ambayo ilikuwa kambini nchini Ethiopia kwa takribani wiki moja, iliondoka jana usiku Addis Ababa na kuwasili uwanja wa ndege wa Cairo majira ya saa 8 usiku, kisha kuunganisha kwa usafiri wa basi mpaka Borg El Arab takribani...
9 years ago
MichuziSTARS YAWASILI SALAMA ALGERIA
Msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Athumani Kambi, ambapo jumla ya watu 40 wapo katika mji wa Bilda wakiwemo wachezaji 21 wanaojiandaa kwa mchezo wa marudiano.
Mara baada ya kufika katika uwanja wa ndege Algiers, Stars ilipokelewa na watanzania...
11 years ago
GPLSTARS YAWASILI DAR, PONGEZI ZAMIMINIKA
10 years ago
VijimamboSTARS YAWASILI SALAMA HAPA CHINI
Stars ambayo jana jioni ilipoteza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Lesotho baada ya kufungwa bao 1 - 0, imerejea baadaa ya kupoteza michezo yote mitatu ya kundi B, baada ya kufungwa na Swaziland, Madagascar na Lesotho.
Mara baada ya mchezo wa jana dhidi ya Lesotho, kocha mkuu wa Taifa Stars Mart...
10 years ago
MichuziSTARS YAWASILI BORG EL ARAB, KUWAVAA MISRI KESHO
Taifa Stars ambayo ilikuwa kambini nchini Ethiopia kwa takribani wiki moja, iliondoka jana usiku Addis Ababa na kuwasili uwanja wa ndege wa Cairo majira ya saa 8 usiku, kisha kuunganisha kwa usafiri wa basi mpaka Borg El Arab takribani masaa...