Mtiro, Mbonde, Isihaka waitwa Taifa Stars
Mchezaji mkongwe nchini, Abubakar Mtiro amerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars cha kocha Mart Nooij kinachojiandaa kucheza na Swaziland baadaye mwezi huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Nov
Nooij amrejesha Mtiro Taifa Stars
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nooij-November6-2014.jpg)
Beki wa zamani wa Yanga na African Lyon, Aboubakar Mtiro, ambaye sasa anaichezea Kagera Sugar, ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) ambacho kitaingia kambini Jumatatu Novemba 10 kwa ajili ya kuelekea Swaziland kuwakabili wenyeji hao kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa.
Mtiro (29), ameitwa na Kocha Mkuu wa Stars, Mholanzi Mart Nooij ikiwa ni miaka nane imepita tangu aiitwe kuichezea Stars wakati huo ikinolewa na Mbrazil Marcio Maximo.
Kwa mara ya mwisho...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1K8UNuGB1wY/VCqNmtEH_rI/AAAAAAAGmtU/d2yy7eMgFMM/s72-c/Staz.jpg)
26 WAITWA TAIFA STARS ITAKAYOIVAA BENIN
![](http://2.bp.blogspot.com/-1K8UNuGB1wY/VCqNmtEH_rI/AAAAAAAGmtU/d2yy7eMgFMM/s1600/Staz.jpg)
Kocha Mart Nooij ambaye yuko Cairo, Misri kwenye kongamano la makocha la Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), amesema kikosi cha Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kitaingia kambini Oktoba 6 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Wachezaji walioitwa ni makipa...
11 years ago
Michuzi25 Feb
10 years ago
TheCitizen06 Nov
Mtiro earns surprise Stars call
Veteran defender Abubakar Mtiro has earned a surprise call-up to Taifa Stars for an international friendly against Swaziland planned for Mbabane on November 16.
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Isihaka, Kessy waachwa nje Stars Maboresho
Licha ya kuonyesha kiwango cha juu kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi iliyomalizika Januari 13, mabeki wa Simba, Hassan Isihaka na Hassan Kessy, hawamo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Maboresho kinachoundwa na wachezaji wenye umri chini ya miaka 22, kilichotangazwa jana.
9 years ago
Habarileo28 Oct
Maguri, Busungu waitwa Stars
WASHAMBULIAJI Elias Maguri wa Stand United ya Shinyanga na Malimi Busungu wa Yanga, wameongezwa katika kikosi cha timu ya soka ya Taifa ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini Oman kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria mwezi ujao.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s72-c/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS
![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s1600/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YFSAOLE0D-A/VDqqTUqZhqI/AAAAAAAGpl0/SWlOON-qJBI/s72-c/MMGM1084.jpg)
Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin
![](http://4.bp.blogspot.com/-YFSAOLE0D-A/VDqqTUqZhqI/AAAAAAAGpl0/SWlOON-qJBI/s1600/MMGM1084.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-NlUWrOLm_MY/VDqqSciQUQI/AAAAAAAGplo/WDumNWIiiQQ/s1600/MMGM1095.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rw1cH6fb7bA/VDqqSY43IwI/AAAAAAAGpls/oJNT5cTcrZ0/s1600/MMGM1119.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JgZ7IQqwkHA/VDqqUA2wFKI/AAAAAAAGpl8/O9cNCzaZok4/s1600/MMGM1140.jpg)
9 years ago
GPL06 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania