Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngoma ambeza Maguri

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Donald Ngoma, amesema bado hajaona mpinzani wa kumzuia ashindwe kubeba tuzo ya Mfungaji Bora msimu huu baada ya kuizoea Ligi ya Tanzania Bara kwa muda mfupi tangu ajiunge na timu hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Maguri awatoroka kimtindo Kiiza, Ngoma

MSHAMBULIAJI wa Stand United, Elias Maguri juzi aliiwezesha Stand United kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi Mgambo Shooting wakati alipofunga bao la pekee kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Mtanzania

Lukuvi ambeza mpinzani wake

lukuviNA RAYMOND MINJA, IRINGA

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ismani kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), William Lukuvi, amembeza mpinzani wake anayegombea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Patrick Sosopi, kuwa hawezi kuvaa viatu vyake.

Kauli hiyo aliitoa mjini hapa juzi wakati akiwahutubia wananchi wa vijiji vya Igingilanyi, Kising’a, Matembo na Ilambilole vilivyopo Isimani.

Alisema viatu vyake havimtoshi pia hana staha ya kuwashawishi wananchi kuwaletea maendeleo na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji Msigwa ambeza JK kuhusu ujangili

>Mbunge wa Iringa Mjini,  Mchungaji Peter Msigwa (Chadema)  amesema kama Rais Jakaya Kikwete anadhamira ya kweli kutokomeza ujangili nchini ni vyema akasafisha kwanza Serikali na chama chake.

 

11 years ago

GPL

tambwe aanza kazi simba, ambeza coutinho

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
MSHAMBULIAJI wa Simba, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, ameanza kujifua rasmi jana kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao lakini hapohapo akamtupia dongo kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho.
Tambwe alitua nchini juzi usiku na kuamua kuingia mzigoni moja kwa moja kujumuika na wenzake kwenye mazoezi ya gym yanayofanyika Chang’ombe, Dar es Salaam.
Baada ya...

 

9 years ago

TheCitizen

Maguri to leave Stand United

Stand United and national soccer team striker Elias Maguri will part ways with the Shinyanga-based club next year, it has been revealed.

 

10 years ago

Habarileo

Maguri awatisha nyota wa kigeni

MSHAMBULIAJI Elias Maguri amezidi kuwawashia taa washambuliaji wa kigeni kwenye mbio za kuwania kiatu cha mfungaji bora baada ya juzi kuifungia mabao mawili timu yake.

 

10 years ago

Habarileo

Maguri asikitika kutemwa Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Elius Maguri amesema kitendo cha kuachwa dakika za mwisho kimemuumiza sana ukizingatia amefanya mazoezi kwa kujituma sana Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

Nyosso ampigia simu Maguri

Beki wa Mbeya City Juma Nyosso. Na Martha Mboma
BEKI mkongwe wa Mbeya City, Juma Said Nyosso, amekubali kuwa kitendo alichomfanyia mshambuliaji wa Simba, Elias Maguri na kuonyeshwa na Gazeti la Championi si sahihi, si cha kiungwana na anajuta kupita kiasi. Kutokana na maumivu ya moyo anayoyapata kutokana na kushiriki katika kitendo hicho, Nyosso amefanya mambo mawili, kwanza ni kumpigia simu Maguri na pili kupiga katika ofisi...

 

10 years ago

Habarileo

Maguri, Busungu waitwa Stars

WASHAMBULIAJI Elias Maguri wa Stand United ya Shinyanga na Malimi Busungu wa Yanga, wameongezwa katika kikosi cha timu ya soka ya Taifa ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini Oman kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria mwezi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani