Maguri awatisha nyota wa kigeni
MSHAMBULIAJI Elias Maguri amezidi kuwawashia taa washambuliaji wa kigeni kwenye mbio za kuwania kiatu cha mfungaji bora baada ya juzi kuifungia mabao mawili timu yake.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 May
Ruksa nyota watano wa kigeni
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Uhamisho nyota wa kigeni wapeta
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Nyota wa kigeni wakalia kuti kavu
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Mambo yaliyoleta nyota wa kigeni nchini
11 years ago
Mwananchi16 May
Wassira awatisha Ukawa
10 years ago
Habarileo02 Nov
Mkurugenzi afukuza waandishi, awatisha
MADIWANI wa Halmashauri wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamelaani kitendo cha Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Joseph Mkude kuwafukuza waandishi wa habari na wananchi katika vikao vya Baraza la Madiwani hao.
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Dk. Magufuli awatisha wananchi Kongwa
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli, ametumia nafasi ya uwekaji wa jiwe la msingi katika barabara ya Mbande Kwangwa kuwatisha wananchi kuwa iwapo watachagua viongozi nje ya CCM watashidwa kufungua...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Maximo awatisha wachezaji Yanga
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema hana nafasi kwa nyota wenye majina makubwa wasiojituma na kusema ni heri abaki na wachache wenye kujituma na kutambua wajibu...
9 years ago
Habarileo06 Nov
Ngoma ambeza Maguri
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Donald Ngoma, amesema bado hajaona mpinzani wa kumzuia ashindwe kubeba tuzo ya Mfungaji Bora msimu huu baada ya kuizoea Ligi ya Tanzania Bara kwa muda mfupi tangu ajiunge na timu hiyo.