Wassira awatisha Ukawa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uratibu na Uhusiano), Stephen Wassira amewatisha wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwamba wasiporejea bungeni, kanuni zitabadilishwa na Bunge litaendelea.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii04 Aug
Ukawa wawatia kiwewe Wassira, Mwigulu, Lukuvi
10 years ago
Habarileo02 Nov
Mkurugenzi afukuza waandishi, awatisha
MADIWANI wa Halmashauri wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamelaani kitendo cha Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Joseph Mkude kuwafukuza waandishi wa habari na wananchi katika vikao vya Baraza la Madiwani hao.
9 years ago
Habarileo23 Oct
Maguri awatisha nyota wa kigeni
MSHAMBULIAJI Elias Maguri amezidi kuwawashia taa washambuliaji wa kigeni kwenye mbio za kuwania kiatu cha mfungaji bora baada ya juzi kuifungia mabao mawili timu yake.
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Maximo awatisha wachezaji Yanga
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema hana nafasi kwa nyota wenye majina makubwa wasiojituma na kusema ni heri abaki na wachache wenye kujituma na kutambua wajibu...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Dk. Magufuli awatisha wananchi Kongwa
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli, ametumia nafasi ya uwekaji wa jiwe la msingi katika barabara ya Mbande Kwangwa kuwatisha wananchi kuwa iwapo watachagua viongozi nje ya CCM watashidwa kufungua...
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Awatisha watu kwa bunduki bandia studioni
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Bulaya amvaa Wassira
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Wassira ataeleweka kwa Warioba
MIMI ni miongoni mwa watu wanaounga mkono katiba inayopendekezwa kwakuwa imegusa masilahi ya makundi mbalimbali tofauti na katiba ya 1977 tunayoitumia Najua kuisifia katiba inayopendekezwa si jambo rahisi kueleweka na...
9 years ago
Habarileo27 Oct
Wassira, Chiza, Mwanri wadondoka
MATOKEO ya ubunge yameanza kutangazwa jana katika sehemu mbalimbali nchini huku kukiwapo na mabadiliko makubwa ya wabunge kati ya vyama vya CCM na Chadema. Katika matokeo yaliyolifikia gazeti hili na ambayo yamethibitishwa na wasimamizi wa uchaguzi, CCM imewapoteza mawaziri watatu hadi jana.