Bulaya amvaa Wassira
Siku moja baada ya Steven Wassira kutangaza nia ya kutetea ubunge wa Jimbo la Bunda mwakani, Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amesema anashangaa kuona mwanasiasa huyo mkongwe anaweweseka kwa kutojua ni nafasi ipi anaitaka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
CHADEMA yawaanika Wassira, Bulaya Bunda
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), kimemshukia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira jimboni kwake Bunda na kuwaeleza wananchi namna alivyo kigeugeu na mbadhirifu wa...
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Bulaya alikoroga Bunda
UAMUZI wa vikao vya juu vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwapitisha wagombea ubunge bila ridhaa ya wanachama huenda ikaathiri mwenendo wa uchaguzi katika Jimbo la Bunda.
Taarifa kutoka jimboni humo zinasema kwamba uteuzi wa Esther Bulaya aliyeanguka kwenye kura za maoni jimboni humo, umekipasua chama hicho baada ya viongozi wote wa juu jimboni humo kusimamishwa kazi na baadaye kutangaza kuachia madaraka.
Esther alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) kabla ya kuamua...
9 years ago
IPPmedia27 Oct
Esther Bulaya (Chadema)
IPPmedia
IPPmedia
Several CCM heavyweights including prominent ministers have lost their parliamentary seats, according to official results released yesterday. One of the big names who beaten in Sunday's General Election is Deputy Minister of State in the Prime Minister ...
10 years ago
Vijimambo20 Jul
Bulaya aitosa CCM.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Bulaya-20July2015.jpg)
Hali imeendelea kuwa tete ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Mara, Ester Bulaya, kutangaza kukitosa kwa kutangaza uamuzi wake wa kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.
Bulaya ambaye alikuwa mbunge machachari kabla ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuvunjwa na Rais Jakaya Kikwete, hivi karibuni , ametangaza kutogombea ubunge kupitia CCM wakati akizungumza na NIPASHE baada...
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Wasira, Bulaya walalamikia hujuma
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Bulaya: Nilikataa ahadi ya uwaziri
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Bulaya alala mahabusu, aachiwa
Na Shomari Binda, Musoma
MGOMBEA ubunge Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Bulaya, amelala mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi mjini Musoma, akidaiwa kutaka kuvamia Kituo cha Polisi Wilaya ya Bunda.
Bulaya, alikamatwa juzi jioni mjini Bunda pamoja na wafuasi sita wa chama hicho, kisha kusafirishwa usiku hadi mjini Musoma.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya Bulaya na wenzake kuachiliwa kwa dhamana jana, wakili wa chama hicho, Peter...
10 years ago
TheCitizen21 Jul
Bulaya shuns Bunda contest
9 years ago
StarTV21 Aug
Chadema yapasuka Bunda, kisa Bulaya
Bulaya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), alihamia Chadema hivi karibuni na moja kwa moja kwenda kujaribu siasa za...