Chadema yapasuka Bunda, kisa Bulaya
KARIBU robo tatu ya viongozi wakuu wa Chadema wilayani hapa, walijiuzulu nyadhifa zao jana na kutangaza kuhamishia nguvu zao kwa mgombea ubunge wa CCM, Stephen Wasira. Wamedai wanafanya hivyo kutokana na kukerwa na kitendo cha makao makuu ya Chadema, kumpitisha Esther Bulaya kuwa mgombea ubunge jimboni humo, licha ya kuwa alishika nafasi ya tatu katika kura za maoni.
Bulaya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), alihamia Chadema hivi karibuni na moja kwa moja kwenda kujaribu siasa za...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
CHADEMA yawaanika Wassira, Bulaya Bunda
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), kimemshukia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira jimboni kwake Bunda na kuwaeleza wananchi namna alivyo kigeugeu na mbadhirifu wa...
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Bulaya alikoroga Bunda
UAMUZI wa vikao vya juu vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwapitisha wagombea ubunge bila ridhaa ya wanachama huenda ikaathiri mwenendo wa uchaguzi katika Jimbo la Bunda.
Taarifa kutoka jimboni humo zinasema kwamba uteuzi wa Esther Bulaya aliyeanguka kwenye kura za maoni jimboni humo, umekipasua chama hicho baada ya viongozi wote wa juu jimboni humo kusimamishwa kazi na baadaye kutangaza kuachia madaraka.
Esther alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) kabla ya kuamua...
10 years ago
TheCitizen21 Jul
Bulaya shuns Bunda contest
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-jfe2sdAw0C4/VmjZCHojsUI/AAAAAAAAXZ0/JwBH_-B768w/s72-c/2015-12-09%2B09.16.28.jpg)
10 years ago
VijimamboALIYEKUWA MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CCM. ESTER BULAYA,AMEPOKELEWA NA MAELFU YA WAKAZI WA BUNDA
Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kupitia vijana (ccm) Ester Bulaya, amepokewa na maelfu ya wakazi wa Bunda baada ya kukihama chama hicho na kujiunga na chama cha demokrasia na mendeleo CADEMA na kudai tayari amechukua na kurudisha fomu kwa ajili ya kuwania Ubunge wa jimbo la Bunda mjini kupitia chama hicho na kuahidi kushirikiana na wananchi kuleta mabadiliko ya kiuchumi kwa wananchi bila kujali itikadi ya vyama na kusisitiza hataweza kuwaangusha wanabunda na watanzania wote.
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Chadema yapasuka Kigoma
9 years ago
Habarileo24 Aug
Chadema Monduli yapasuka ‘vipandevipande’
UONGOZI wa Chadema wilayani Monduli umesambaratika, kufuatia hatua ya viongozi wa juu wa chama hicho kujiuzulu nyadhifa zao.
9 years ago
IPPmedia27 Oct
Esther Bulaya (Chadema)
IPPmedia
IPPmedia
Several CCM heavyweights including prominent ministers have lost their parliamentary seats, according to official results released yesterday. One of the big names who beaten in Sunday's General Election is Deputy Minister of State in the Prime Minister ...
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Chadema ya leo inamhitaji Lembeli au Esther Bulaya?
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) enzi za kina Dk Wilbroad Slaa pamoja na Chadema ile y
Mayage S. Mayage