Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bulaya: Nilikataa ahadi ya uwaziri

>Mbunge wa Viti Maalum alihama juzi CCM na kujiunga Chadema, Ester Bulaya amesema licha ya kuahidiwa vyeo vingi ukiwamo uwaziri na ukuu wa wilaya ili asihame CCM, aliamua kuviacha ili aweze kuwasaidia Watanzania wa chini ambao wameonewa na serikali ya chama hicho kwa miaka 50 iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kaseba: Nilikataa kuukana uraia wa Tanzania

Japhet Joseph Kaseba maarufu zaidi kwa jina la Champion sasa amejikita rasmi kwenye ngumi baada ya kukosa upinzani kwenye mchezo wa ngumi na mateke (kick boxing) mchezo uliowahi kumuweka njia panda na kujikuta akitakiwa kuukana uraia wa Tanzania.

 

9 years ago

BBCSwahili

Pedro:Nilikataa ombi la timu za Manchester

Mchezaji mpya wa Chelsea Pedro amefichua kwamba alikataa kujiunga na timu zote mbili za Manchester na badala yake kujiunga na Chelsea.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?

Ama kweli, mwaka wa uchaguzi ni mwaka wa uchafuzi. Nimesema mara nyingi kwamba wanasiasa huwa wanajiona miungu kabisa. Wakiona kitu, wanasema, na iwe, ikawa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza. Ni sawa. Hasa katika mwaka wa uchafuzi. Hawasubiri hadi hata asubuhi, ikawa jioni ikawa usiku mambo yote yatakuwa sawa na mbinguni.

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi, ahadi sasa zimetosha kwenye klabu

Kuna msemo unaosema “miluzi mingi humpoteza mbwa”. Kwamba mbwa anayeongozwa na miluzi kufanya jambo fulani, anaweza kushindwa kutekeleza maelekezo ya bosi wake iwapo miluzi itazidishwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Uwaziri mkuu ni moto

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema kuwa nafasi hiyo siyo ya kuing’ang’ania au kuililia kwa kuwa ni kama moto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uwaziri wawatesa Lembeli, Maige

SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli kutoa taarifa yake bungeni iliyowang’oa mawaziri wanne, vita kali imeibuka kati yake...

 

9 years ago

Mtanzania

Wanne wakataa uwaziri wa Magufuli

John+Magufuli+PHOTO*Wahofia kwenda na kasi ya Hapa Kazi Tu!

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi, MTANZANIA imebaini.

Hatua hiyo imetokana na kile kilichoelezwa kuwa ni hofu ya wabunge hao kushindwa kwenda na kasi ya Rais Dk. John Magufuli, ambaye aliwaapisha mawaziri wapya Desemba 12, mwaka huu.

Wakizungumza na MTANZANIA wabunge hao ambao hawakupenda kutajwa majina yao gazetini...

 

9 years ago

Raia Mwema

Uwaziri Mkuu ni cheo tata?

WAKATI tukisubiria atangazwe waziri mkuu mpya ni vyema tukajikumbusha chimbuko la cheo hiki kikub

Joseph Magata

 

10 years ago

Mtanzania

Aangusha ng’ombe watatu kusherehekea uwaziri

mwijageNa Elizabeth Mjatta
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage, anadaiwa kuandaa ng’ombe watatu ambao watachinjwa leo kwa ajili ya kusherehekea kuteuliwa kushika wadhifa huo.
Mwijage, ambaye ni Mbunge wa Muleba Kaskazini (CCM), aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kushika nafasi hiyo Januari 24, mwaka huu, baada ya kufanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri baada ya kuibuka sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Taarifa ambazo gazeti hili limezipata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani