Wanne wakataa uwaziri wa Magufuli
*Wahofia kwenda na kasi ya Hapa Kazi Tu!
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi, MTANZANIA imebaini.
Hatua hiyo imetokana na kile kilichoelezwa kuwa ni hofu ya wabunge hao kushindwa kwenda na kasi ya Rais Dk. John Magufuli, ambaye aliwaapisha mawaziri wapya Desemba 12, mwaka huu.
Wakizungumza na MTANZANIA wabunge hao ambao hawakupenda kutajwa majina yao gazetini...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Dec
Uwaziri wa Magufuli wa moto, wabunge wengi waugwaya!

Kuna sababu za kwanini hadi sasa Rais Dk John Magufuli hajatangaza baraza lake la mawaziri licha ya kuwepo ofisini kwa takriban mwezi sasa.
Taarifa zinadai kuwa uwaziri kwenye serikali yake ni mwendo ‘msobe msobe’ na si ule wa kula bata na safari kibao za nje kama ilivyokuwa awamu iliyopita, ndio maana wabunge wengi wanaugwaya.
Infact ndugu yako akiteuliwa na Magufuli kuwa waziri mpe pole badala ya kumpongeza kuwa ameula! Ule usemi Hapa Kazi tu si wa mdomoni na kuvutia kura tu, ndani ya...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Rais Magufuli ateua Mawaziri wanne waliokuwa wamebaki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano yautawala wake
Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;
1.Profesa Jumanne Maghembe -Ameteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
2.Dkt. Philip Mpango – Ameteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (Ni baada ya kumteua kuwa...
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Magufuli aanika Baraza la Mawaziri, bado hajapata wanne
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli
Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alifuta safari za Watumishi wa serikali nje ya nchi na iwapo itatokea kuna safari za nje, ruhusa ni lazima itoke kwake au kwa katibu mkuu kiongozi, baada ya hayo kuna Watumishi wanne ambao wamekwenda nje ya nchi bila ruhusa yake, wamezungumziwa kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za […]
The post Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi14 Sep
Uwaziri mkuu ni moto
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Bulaya: Nilikataa ahadi ya uwaziri
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Uwaziri wawatesa Lembeli, Maige
SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli kutoa taarifa yake bungeni iliyowang’oa mawaziri wanne, vita kali imeibuka kati yake...
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Uwaziri Mkuu ni cheo tata?
WAKATI tukisubiria atangazwe waziri mkuu mpya ni vyema tukajikumbusha chimbuko la cheo hiki kikub
Joseph Magata
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, MAKATIBU WAKUU WANNE