Uwaziri wa Magufuli wa moto, wabunge wengi waugwaya!
Kuna sababu za kwanini hadi sasa Rais Dk John Magufuli hajatangaza baraza lake la mawaziri licha ya kuwepo ofisini kwa takriban mwezi sasa.
Taarifa zinadai kuwa uwaziri kwenye serikali yake ni mwendo ‘msobe msobe’ na si ule wa kula bata na safari kibao za nje kama ilivyokuwa awamu iliyopita, ndio maana wabunge wengi wanaugwaya.
Infact ndugu yako akiteuliwa na Magufuli kuwa waziri mpe pole badala ya kumpongeza kuwa ameula! Ule usemi Hapa Kazi tu si wa mdomoni na kuvutia kura tu, ndani ya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Uwaziri mkuu ni moto
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Wabunge walioukataa Uwaziri, Mapigano ya wakulima, wafugaji, aliyevamia kwa MWINYI bila taarifa…#MAGAZETINI
MTANZANIA Wabunge wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi, imebainika. Hatua hiyo imetokana na kile kilichoelezwa kuwa ni hofu ya wabunge hao kushindwa kwenda na kasi ya Rais Dk. John Magufuli, ambaye aliwaapisha mawaziri wapya Desemba 12, mwaka huu. Wabunge hao […]
The post Wabunge walioukataa Uwaziri, Mapigano ya wakulima, wafugaji, aliyevamia kwa MWINYI bila taarifa…#MAGAZETINI appeared first on...
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Wanne wakataa uwaziri wa Magufuli
*Wahofia kwenda na kasi ya Hapa Kazi Tu!
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi, MTANZANIA imebaini.
Hatua hiyo imetokana na kile kilichoelezwa kuwa ni hofu ya wabunge hao kushindwa kwenda na kasi ya Rais Dk. John Magufuli, ambaye aliwaapisha mawaziri wapya Desemba 12, mwaka huu.
Wakizungumza na MTANZANIA wabunge hao ambao hawakupenda kutajwa majina yao gazetini...
10 years ago
Mtanzania16 Jan
Wabunge:Dar hatarini kuteketea kwa moto
SHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Nishati na Madini, imeonyesha hofu juu ya Jiji la Dar es Salaam kuteketea kwa moto, kutokana na uwezekano wa kulipuka kwa mabomba ya kusafirishia mafuta kunakochangiwa na wizi wa mafuta unaohusisha utoboaji wa mabomba hayo.
Kutokana na hali hiyo, wabunge wametaka vyombo vya ulinzi, hususan Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wapewe jukumu la kulinda miundombinu ya kusafirishia mafuta, huku baadhi ya...
10 years ago
VijimamboPAZI REUNION HOUSTON, TEXAS LEO KUWAKA MOTO WACHEZAJI WENGI NDANI YA NYUMBA
9 years ago
Habarileo11 Nov
Kasi ya Magufuli yavutia wengi
RAIS John Magufuli amepongezwa kwa kasi ya utendaji kazi anayoionesha, inayoelezwa kuwa inadhihirisha dhamira ya dhati na ya kizalendo aliyonayo ya kuwatumikia Watanzania.
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Kasi ya Magufuli inaweza kuwaacha wengi njiani
9 years ago
Mwananchi29 Nov
HONDOHONDO : Magufuli anajijenga yeye, ataumbua wengi
10 years ago
Mwananchi28 May
Wabunge wamkaanga Magufuli