Ahadi, ahadi sasa zimetosha kwenye klabu
Kuna msemo unaosema “miluzi mingi humpoteza mbwaâ€. Kwamba mbwa anayeongozwa na miluzi kufanya jambo fulani, anaweza kushindwa kutekeleza maelekezo ya bosi wake iwapo miluzi itazidishwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Oct
KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?
9 years ago
Habarileo24 Dec
Sekta binafsi sasa kusaini fomu ya ahadi ya uadilifu
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) imetaka kampuni na taasisi binafsi kusaini fomu za ahadi ya uadilifu ili kupambana na rushwa, ufisadi na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa taifa.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Mbunge ahoji utekelezaji ahadi kwenye kampeni
MBUNGE wa Viti Maalumu, Pauline Gekul (CHADEMA), ameihoji serikali kama ni halali kwa mgombea kutekeleza ahadi alizozitoa siku za nyuma wakati kampeni zikiendelea katika uchaguzi mdogo. Akiuliza swali bungeni jana,...
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi
10 years ago
Habarileo30 May
Ahadi ya JK kwa walimu
AHADI ya Rais Jakaya Kikwete ya kushughulikia changamoto za walimu kabla ya kumaliza muda wa uongozi wake mwishoni mwa mwaka huu, inatarajiwa kuanza kutekelezwa mwezi ujao.
11 years ago
Habarileo12 Mar
Hizi ni ahadi za Sitta
SAMUEL Sitta ambaye ni miongoni mwa wajumbe watatu wa Bunge Maalumu la Katiba ambao walichukua fomu jana, ameahidi kusimamia utaratibu ambao hauna upendeleo utakaowezesha Watanzania kupata Katiba bora.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Diamond atimiza ahadi
HATIMAYE mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ ametimiza ahadi ya kuwasomesha watoto ambao walishinda shindano la kucheza mtindo wake wa ‘Ngololo’ katika sherehe alizoziandaa maalumu...
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Kiroka wakumbushia ahadi ya JK
WANANCHI wa Kata ya Kiroka, wilayani Morogoro, wameanza kukumbwa na hofu ya kutotimizwa ahadi ya gari la wagonjwa aliyoitoa Rais Jakaya Kikwete mwaka 2010. Wakizungumza kwa nyakati tofauti mbele ya...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
JK aombwa kutimiza ahadi
WANANCHI wa Jimbo la Ulanga Magharibi mkoani Morogoro, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kutimiza ahadi yake ya uchaguzi za mwaka 2010, ya kuwapatia wilaya mpya kwa mipaka ya kimajimbo. Walisema kuwa...