Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ahadi ya JK kwa walimu

Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia walimu hivi karibuni.AHADI ya Rais Jakaya Kikwete ya kushughulikia changamoto za walimu kabla ya kumaliza muda wa uongozi wake mwishoni mwa mwaka huu, inatarajiwa kuanza kutekelezwa mwezi ujao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Walimu hawahitaji mazingaombwe ya ahadi

WIKI iliyopita nilizungumzia kuhusu kukamilika vyumba vya madarasa na maabara katika shule za sekondari nchini, lakini nikagusia uhaba wa walimu unavyoathiri wanafunzi wa masomo ya sayansi.

Shule zinaongezeka kila kukicha, mwaka jana tu zilisajiliwa shule 106, kati ya hizo shule za awali zilikuwa mbili, za msingi 53 na sekondari 17 hizo ni za serikali, zisizo za serikali zilikuwa 32.

Kwa mujibu wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa jumla ya vyuo vya ualimu...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?

Ama kweli, mwaka wa uchaguzi ni mwaka wa uchafuzi. Nimesema mara nyingi kwamba wanasiasa huwa wanajiona miungu kabisa. Wakiona kitu, wanasema, na iwe, ikawa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza. Ni sawa. Hasa katika mwaka wa uchafuzi. Hawasubiri hadi hata asubuhi, ikawa jioni ikawa usiku mambo yote yatakuwa sawa na mbinguni.

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi, ahadi sasa zimetosha kwenye klabu

Kuna msemo unaosema “miluzi mingi humpoteza mbwa”. Kwamba mbwa anayeongozwa na miluzi kufanya jambo fulani, anaweza kushindwa kutekeleza maelekezo ya bosi wake iwapo miluzi itazidishwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Tutawapima kwa ahadi na matamko yenu

Tangu Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano liapishwe, kumekuwapo na matamko mengi kutoka kwa mawaziri, yakiashiria kuwa wameridhika kuwa nchi ilikuwa ikiendeshwa kwa mazoea na sasa wanataka waongoze mabadiliko yatakayowaneemesha wananchi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ahadi ya mabilioni ya dola kwa Afrika

Rais wa Makani Barack Obama ametangaza ahadi ya msaada wa kifedha kwa mataifa ya Afrika Marekani

 

11 years ago

BBCSwahili

IMF yatimiza ahadi kwa Ukraine

Shirika la Fedha Duniani IMF limeidhinisha msaada wa dola bilioni kumi na saba kuunusuru uchumi wa Ukraine

 

11 years ago

Dewji Blog

JK atimiza ahadi kwa wasanii nchini

Terrence_J1_page-bg_18448

Terrence J. (Jenkins).

Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo yatayoendeshwa na magwiji wa sanaa kutoka Marekani sasa imetimia.

Akizindua Kampeni ya Uzalendo kwa Vijana inayoendeshwa na Muungano wa Wasanii Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwezi uliopita, Juni 14, 2014, Rais Kikwete aliahidi kuchangia kuinua kiwango cha usanii na...

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abaas Mwinyi Atimiza Ahadi Zake kwa Kituo cha Afya Fuoni kwa Kukabidhi Dawa na Masinki ya Vyoo kwa Kituo Hicho.

Daktari Dhamana wa Kituo cha Afya Fuoni Said Fadhili Abass akizungumza wakati wa mkutano huo na Mbunge wa Jimbo la fuoni na kumshukuru kwa msaada wake huo kwa Kituo chao. na kusema dawa hizo zitatumika kwa wananchi wa Jimbo hilo wanaofika kituoni hapa kupata huduma mbalimbali za Afya.  Wauguzi wa Kituo cha Afya Fuoni wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Fuoni Mhe Abass Mwinyi wakati akizungumza na Wafanyakazi hao katika ziara yake kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa ajili ya Wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani