Kiroka wakumbushia ahadi ya JK
WANANCHI wa Kata ya Kiroka, wilayani Morogoro, wameanza kukumbwa na hofu ya kutotimizwa ahadi ya gari la wagonjwa aliyoitoa Rais Jakaya Kikwete mwaka 2010. Wakizungumza kwa nyakati tofauti mbele ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Kahama wakumbushia ahadi za mwekezaji
BAADHI ya wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu wilayani Kahama, Shinyanga unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold Mine Ltd. wameiomba serikali iwashinikize wawekezaji hao kutekeleza ahadi...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Yanga wakumbushia ahadi za wabunge
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
Skimu ya Mpunga Kiroka yapata ugeni mkubwa
Msimamizi wa mradi wa FAO kijiji cha Kiroka mkoani Morogoro, Ajuaye Sigalla, akitoa muhtasari wa maendeleo ya mradi FAO unaotekelezwa na wanakikundi wa Umoja wa Wakulima Kiroka (UWAKI) mbele ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi walipofanya ziara ya kugagua miradi yao ya maendeleo mkoani Morogoro.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na...
11 years ago
Habarileo30 Aug
Wakumbushia ujenzi wa ofisi iliyochomwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Masasi kimeuomba uongozi wa CCM Taifa kuharakisha ujenzi wa jengo la ofisi ya chama hicho wilayani iliyoteketezwa kwa moto katika vurugu za Januari mwaka 2013 na kusababisha hasara kubwa kwa chama, mali za watu binafsi na halmashauri ya wilaya kwa ujumla.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Wazabuni Songea wakumbushia deni lao
WAZABUNI wa vyakula katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, wameikumbusha serikali kuangalia uwezekano wa kuwalipa deni lao la zaidi ya sh bilioni moja lililotokana na kulisha katika shule za sekondari,...
10 years ago
Mwananchi04 Oct
KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?
11 years ago
Mwananchi20 Oct
Ahadi, ahadi sasa zimetosha kwenye klabu