Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hizi ni ahadi za Sitta

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na Spika wa zamani wa Bunge, Samuel Sitta akipokea fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kwa Katibu Muhtasi wa Katibu wa Bunge, Lidya Mwaipyana, Dodoma jana. Anayeshuhudia ni Mjumbe Dk Hamisi Kingwangalah. (Picha na Mroki Mroki).SAMUEL Sitta ambaye ni miongoni mwa wajumbe watatu wa Bunge Maalumu la Katiba ambao walichukua fomu jana, ameahidi kusimamia utaratibu ambao hauna upendeleo utakaowezesha Watanzania kupata Katiba bora.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Sitta unakumbuka ahadi hii!

UPO usemi kwamba ukiwa muongo, basi uwe na kumbukumbu ya kile ulichokisema jana yake. Hivi ndivyo naweza kumkumbusha Samuel Sitta, Mwenyekiti wa lililokuwa Bunge Maalum la Katiba ambalo lilikutana kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

HIZI NDIZO AHADI ZA CCM UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015



 Hatimaye Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeipua Ilani yake ya Uchaguzi kwa mwaka 2015-2020, ikitaja mambo makuu manne ya kushughulkikia katika miaka mitano ijayo, ambayo ni kupambana na umaskini, ajira kwa vijana, ulinzi na usalama na kupambana na rushwa kwa kuanzisha mahakama maalumu ya makosa hayo.
Ilani hiyo, iliyoandaliwa na makada wake 32 wakiongozwa na Stephen Wasira, imeanisha jinsi chama hicho kikongwe kilivyotekeleza baadhi ya ahadi zake katika ilani ya mwaka 2010-2015 na kutaja ahadi...

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu: Samuel Sitta alisaliti ahadi yake

Ikiwa ni takriban majuma mawili sasa tangu Bunge la Maalumu la Katiba likamilishe kazi ya kuandika Katiba Inayopendekezwa, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amesema anajuta kumchagua Samuel Sitta kuwa mwenyekiti wa chombo hicho, akidai kuwa amesaliti ahadi yake kwa wapinzani wakati akiomba kura.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?

Ama kweli, mwaka wa uchaguzi ni mwaka wa uchafuzi. Nimesema mara nyingi kwamba wanasiasa huwa wanajiona miungu kabisa. Wakiona kitu, wanasema, na iwe, ikawa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza. Ni sawa. Hasa katika mwaka wa uchafuzi. Hawasubiri hadi hata asubuhi, ikawa jioni ikawa usiku mambo yote yatakuwa sawa na mbinguni.

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi, ahadi sasa zimetosha kwenye klabu

Kuna msemo unaosema “miluzi mingi humpoteza mbwa”. Kwamba mbwa anayeongozwa na miluzi kufanya jambo fulani, anaweza kushindwa kutekeleza maelekezo ya bosi wake iwapo miluzi itazidishwa.

 

10 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani