Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta unakumbuka ahadi hii!

UPO usemi kwamba ukiwa muongo, basi uwe na kumbukumbu ya kile ulichokisema jana yake. Hivi ndivyo naweza kumkumbusha Samuel Sitta, Mwenyekiti wa lililokuwa Bunge Maalum la Katiba ambalo lilikutana kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?-2

KARIBUNI katika Let’s Talk About Love. Bila shaka mu wazima wa afya. Tunaendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita. Somo hili ni muhimu sana kwa wapendanao kujua ahadi ambazo zinaweza kuwa na nakshi katika mapenzi na zile ambazo huleta migogoro katika uhusiano. Niliacha kwa kueleza machache wiki iliyopita. Ahadi zenyewe ni zipi na zinakuwaje? Tuendelee na somo letu? UWEZO WA FAMILIA
Baadhi ya wanaume wanapokutana na...

 

11 years ago

GPL

UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?

BILA shaka ni wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Nawashukuru sana kwa kuchagua kusoma safu hii maana hakuna kitakachopotea, zaidi mtaongeza ujuzi juu ya uhusiano na mapenzi. Mada ya wiki iliyopita ilikuwa na changamoto sana kwa wasomaji, nilipokea simu, waraka pepe na ujumbe mfupi wa maneno kwa wingi sana kutoka kwa wasomaji mbalimbali wakichangia mada ambayo kimsingi ilizungumzia zaidi wanawake....

 

11 years ago

Habarileo

Hizi ni ahadi za Sitta

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na Spika wa zamani wa Bunge, Samuel Sitta akipokea fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kwa Katibu Muhtasi wa Katibu wa Bunge, Lidya Mwaipyana, Dodoma jana. Anayeshuhudia ni Mjumbe Dk Hamisi Kingwangalah. (Picha na Mroki Mroki).SAMUEL Sitta ambaye ni miongoni mwa wajumbe watatu wa Bunge Maalumu la Katiba ambao walichukua fomu jana, ameahidi kusimamia utaratibu ambao hauna upendeleo utakaowezesha Watanzania kupata Katiba bora.

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu: Samuel Sitta alisaliti ahadi yake

Ikiwa ni takriban majuma mawili sasa tangu Bunge la Maalumu la Katiba likamilishe kazi ya kuandika Katiba Inayopendekezwa, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amesema anajuta kumchagua Samuel Sitta kuwa mwenyekiti wa chombo hicho, akidai kuwa amesaliti ahadi yake kwa wapinzani wakati akiomba kura.

 

11 years ago

Mwananchi

Njovu hii ndiyo Yanga ya ahadi kebekebe

Katikati ya wiki iliyopita, Klabu ya Yanga ilimtangaza Beno Njovu kuwa Katibu Mkuu mpya wa klabu hiyo, akichukua nafasi ya Lawrance Mwalusako. Hongera Njovu kwa uteuzi huo.

 

10 years ago

Habarileo

Turufu ya Rasimu ya Sitta hii hapa

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta.RASIMU ya tatu ya Katiba maarufu kama Rasimu ya Sitta ambayo leo inaanza kupigiwa kura imejikita katika kutetea mahitaji na maslahi mahususi ya makundi makubwa ya jamii ili ikubalike kirahisi.

 

11 years ago

GPL

UNAKUMBUKA PATI YENU YA KUMALIZA SHULE?

MAMBO vipi maanko! Dah, long time kitambo! Najua wasomaji wengi wa safu yetu wanaweza kujiuliza kwa nini nimekuja na mada hii leo. Halafu mbona imekaa kama inawahusu wale ambao wameshamaliza masomo na siyo walengwa, ambao ni wanafunzi ambao muda huu wapo darasani? Nina sababu kwa vile inanikumbusha mambo mengi sana ambayo kwa wanafunzi wa sasa, haina shaka kwamba watapata kitu cha msingi sana cha kujifunza. Mimi ninakumbuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani