Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge ahoji utekelezaji ahadi kwenye kampeni

MBUNGE wa Viti Maalumu, Pauline Gekul (CHADEMA), ameihoji serikali kama ni halali kwa mgombea kutekeleza ahadi alizozitoa siku za nyuma wakati kampeni zikiendelea katika uchaguzi mdogo. Akiuliza swali bungeni jana,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE JIMBO LA CHALINZE 2015-2020


Mheshimiwa Ridhiwani Jakaya KikweteSALAMU KUTOKA KWA MHESHIMIWA RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE MBUNGE WA CHALINZE (2015-2020)

Mwaka 1995 Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Gazeti lake la Serikali ilitangaza jimbo jipya
la Uchaguzi la Chalinze lenye Kata 15 katika Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Katika kipindi cha Miaka ishirini na mitano (25) toka kuanzish￾wa kwa jimbo hili la uchaguzi, tumeshuhudia maendeleo makubwa.

Pamoja na maendeleo yaliyopatikana katika kipindi hicho,...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE WA MBINGA MJINI SIXTUS MAPUNDA 2015-2020

Jimbo la Mbinga mjini lililopo katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, lina jumla ya Kata 19, na ni miongoni mwa majimbo ambayo yamebahatika kupata Wabunge Vijana. Baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka 2015, Jimbo hilo lilipahatika kumpata Mbunge Kijana anayeelezewa kuwa ni mchapakazi mahiri.

Baada ya mbunge huyo Mh. Sixtus Mapunda kukaribia kuhitimisha miaka yake ya Ubunge katika jimbo hilo, yeye na timu yake wametayarisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM sambamba na...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AZINDUA KITABU CHA UTEKELEZAJI AHADI ZA JIMBO LA KAWE

 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima wakati wa mkutano wa hadhara uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kitabu cha utekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe  akizindua kitabu cha ukekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe kulia ni Mbunge wa Kawe-Chadema Halima Mdee Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akihutubia. Umati wa watu waliohudhuria mkutano huo.

 

10 years ago

Mtanzania

Wenje ahoji utekelezaji maazimio ya Bunge

NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (Chadema), amehoji sababu ya ratiba ya Bunge la 18 lililoanza jana mjini hapa, kutoonyesha kama Serikali itawasilisha ripoti ya utekelezaji wa maazimio manane ya Bunge juu ya fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Wenje alitoa kauli hiyo jana baada ya kuomba mwongozo wa spika, akihoji utekelezaji wa maazimio hayo yaliyopendekezwa na Bunge lililopita.
“Mheshimiwa Spika, ukiangalia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barwany ahoji utekelezaji mpango wa Southern Corridor

MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Barwany (CUF), ametaka kujua kama Bunge limesharidhia kuwepo kwa mpango wa Southern Corridor na kama ulipelekwa utekelezaji wake ukoje. Barwany alihoji hatua hiyo bungeni jana...

 

10 years ago

Habarileo

DC ahoji ahadi ya ununuzi wa mpunga isiyotekelezeka

MKUU wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Anthony Mtaka, ameikumbusha Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kutekeleza ahadi ambayo imeitoa kwa wakulima wa wilaya hiyo kuwa itanunua tani 3,000 za mpunga na mahindi.

 

9 years ago

Mwananchi

Zitto ahoji ahadi ya CCM ya Sh50 milioni kila kijiji

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ahadi ya CCM ya kutoa mgao wa Sh50milioni kwa kila kijiji nchini, ni dalili za kutawanya ufisadi kwa kutumia fedha hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani