Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC ahoji ahadi ya ununuzi wa mpunga isiyotekelezeka

MKUU wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Anthony Mtaka, ameikumbusha Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kutekeleza ahadi ambayo imeitoa kwa wakulima wa wilaya hiyo kuwa itanunua tani 3,000 za mpunga na mahindi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ahoji utekelezaji ahadi kwenye kampeni

MBUNGE wa Viti Maalumu, Pauline Gekul (CHADEMA), ameihoji serikali kama ni halali kwa mgombea kutekeleza ahadi alizozitoa siku za nyuma wakati kampeni zikiendelea katika uchaguzi mdogo. Akiuliza swali bungeni jana,...

 

9 years ago

Mwananchi

Zitto ahoji ahadi ya CCM ya Sh50 milioni kila kijiji

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ahadi ya CCM ya kutoa mgao wa Sh50milioni kwa kila kijiji nchini, ni dalili za kutawanya ufisadi kwa kutumia fedha hizo.

 

9 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA : Ahadi za nani zitatufikisha kwenye nchi ya ahadi?

Ama kweli, mwaka wa uchaguzi ni mwaka wa uchafuzi. Nimesema mara nyingi kwamba wanasiasa huwa wanajiona miungu kabisa. Wakiona kitu, wanasema, na iwe, ikawa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza. Ni sawa. Hasa katika mwaka wa uchafuzi. Hawasubiri hadi hata asubuhi, ikawa jioni ikawa usiku mambo yote yatakuwa sawa na mbinguni.

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi, ahadi sasa zimetosha kwenye klabu

Kuna msemo unaosema “miluzi mingi humpoteza mbwa”. Kwamba mbwa anayeongozwa na miluzi kufanya jambo fulani, anaweza kushindwa kutekeleza maelekezo ya bosi wake iwapo miluzi itazidishwa.

 

11 years ago

Habarileo

Kipaumbele kwenye mpunga, miwa

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, miongoni mwake ikiwa ni kuendeleza mashamba makubwa ya kibiashara kwa mazao ya miwa na mpunga.

 

11 years ago

Habarileo

Pumba za mpunga kutengeneza matofali

PUMBA za mchele zimebainika zikichanganywa na saruji kidogo, zina uwezo wa kutengeneza matofali imara. Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), umebaini hayo kupitia tafiti mbalimbali ilizofanya.

 

11 years ago

Michuzi

morogoro mambo mswano, mpunga kibao

 Hapa ni Morogoro karibu ambapo mpunga umeanikwa juani kabla ya kukobolewa. Imeelezwa kuwa mavuno ya mpunga mkoani Morogoro mwaka huu yamekuwa mazuri na biashara inashamiri. Bei hadi leo .tunapita hapo ilikuwa shilingi 1,300/- kwa kilo moja.

 

10 years ago

Mwananchi

Neema kwa wakulima wa mpunga yanukia

Rais Jakaya Kikwete ameahidi kuwatafutia soko la uhakika wakulima wa mpunga, hatua ambayo itaambatana na kuanzishwa kwa hifadhi ya zao hilo katika Ghala la Taifa la Chakula, kama ilivyo kwa mahindi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kampuni ya Mkulima kununua mpunga Songea

WAKATI Serikali inahangaika kutafuta masoko ya kuuzia mazao ya wakulima, kampuni ya kizalendo ya Mkulima Malt Purpose yenye makao yake makuu jijini Mbeya imejitosa kuanza kununua mpunga. Kampuni hiyo ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani