Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipaumbele kwenye mpunga, miwa

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, miongoni mwake ikiwa ni kuendeleza mashamba makubwa ya kibiashara kwa mazao ya miwa na mpunga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kilimo sasa kujikita kwenye mashamba ya mpunga, miwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia KadumaWIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, miongoni mwake ikiwa ni kuendeleza mashamba makubwa ya kibiashara kwa mazao ya miwa na mpunga.

 

11 years ago

Mwananchi

Nanyaro: Kipaumbele kiwekwe kwenye elimu

Ephata Nanyaro ni miongoni mwa vijana wanaojitanabaisha kuwa wanachama na viongozi waaminifu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Arusha.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI IWEKE KIPAUMBELE KWENYE LISHE

Katibu Mtendaji wa Shirika lisilokua la kiserikali la ANGONET lenye makao makuu  jijini Arusha ,Petter Bayo (kulia)  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya masuala ya lishe na kuitaka serikali iweke vipaumbele katika lishe ili kutokomeza matatizo ya udumavu na utapiamlo,Katikati ni Mratibu wa Angonet ,Petro Ahham ,kushoto ni Jovitha Mlay mwanachama wa shirika hilo(habari picha na libeneke la kaskazini blog)
Serikali imetakiwa kuweka vipaumbele katika masuala ya lishe ili...

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WAPEWA KIPAUMBELE KWENYE KAMATI YA KUSIMAMIA USAFIRISHAJI.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

Madereva wamepewa kipaumbele  kwenye tume itakayokuwaikisimamia usafirishaji,kwani tume hiyo itakuwa na wajumbe watano  kutoka  Umoja wa madereva tuu na kutoka sekta nyingine watakuwa wajumbe watatu .


Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda  wakati akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake  jijini Dar es Salaam leo.


Makonda amesema kuwa kamati hiyo haitaundwa na serikali, wajumbe watatokana na  uchaguzi wa madereva wenyewe pia  na...

 

11 years ago

Mwananchi

Uzuri wa juisi ya miwa

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi jijini Dar es Salaam wanaouza juisi ya miwa. Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa. Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina virutubisho na madini kwa wingi.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wanunua mashine za kupakilia miwa


Na Igamba Libonge, Kilombero
CHAMA cha Wakulima wa Miwa cha Msolwa Ujamaa (MUCGA), wilayani Kilombero kimenunua mashine mbili za kupakilia miwa zenye thamani ya sh. milioni 264.8.
Chama hicho pia  kwa mwaka huu kinatarajia kununua magari sita yenye thamani ya sh. milioni 400 kwa ajili ya kusombea miwa ya wanachama na kujenga ofisi mpya itakayowagharimu sh. milioni 250.
Hayo yamesemwa juzi na Mwenyekiti wa MUCGA, Sebastian Sangilindege, alipokuwa akisoma taarifa ya chama katika mkutano mkuu....

 

10 years ago

Habarileo

Shamba la miwa lachomwa moto

SHAMBA la miwa inayokadiriwa kufikia tani 6,000 baada ya kuvunwa lenye ukubwa wa hekta 240, limechomwa moto na watu wasiojulikana na kusababisha hasara ya Sh milioni 280.2, mali ya wakulima wa wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.

 

11 years ago

Mwananchi

Walima miwa kupewa hatimiliki

Wakulima wa miwa wa vijiji 10 vya Wilaya za Kilosa na Kilombero mkoani Morogoro, wameanza kupimiwa mashamba yao ili wapatiwe hatimilki za kimila.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa miwa kupewa mashamba

Ofisi ya Rais kupitia Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), imewataka wakulima wa miwa katika Wilaya za Kilosa na Kilombero kujitokeza katika zoezi la urasimishaji mashamba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani