Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADEREVA WAPEWA KIPAUMBELE KWENYE KAMATI YA KUSIMAMIA USAFIRISHAJI.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

Madereva wamepewa kipaumbele  kwenye tume itakayokuwaikisimamia usafirishaji,kwani tume hiyo itakuwa na wajumbe watano  kutoka  Umoja wa madereva tuu na kutoka sekta nyingine watakuwa wajumbe watatu .


Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda  wakati akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake  jijini Dar es Salaam leo.


Makonda amesema kuwa kamati hiyo haitaundwa na serikali, wajumbe watatokana na  uchaguzi wa madereva wenyewe pia  na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MADEREVA 21 WA KAMPUNI YA MAJINJAH LOGISTICS LTD WAPATIWA MAFUNZO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) WAHITIMU WAPEWA VYETI.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na kutoka kushoto mstari wa mbele (wa pili) Mkuu wa Kampuni ya Majinjah,Geoffrey Mwambona, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Majinjah Logistics,Benjamin Mwandete,Mkuu wa Idara ya Tafiti,Machapisho na Masomo ya Elimu ya Juu (NIT),Dk,Ethel Kasembe,Mhandisi, Charles Kisunga na Dereva wa kike wa Majinjah,Grace Andrew. Wahitimu wa mafunzo ya Udereva wa Kampuni ya Majinjah Logistics wakiwa katika picha ya pamoja...

 

9 years ago

BBCSwahili

Vijana wapewa kipaumbele kuajiriwa DRC

Zaidi ya vijana 300 waliomaliza elimu ya vyuo Kikuu, Jamuhuri ya Kidemokrai ya Congo wameanza rasmi ajira za umma.

 

9 years ago

Michuzi

WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET

Baadhi ya Wanafunzi wakiwa Darasani.Baadhi ya wanafunzi wakijifunza kushona.Masomo yakiendelea kwa baadhi ya wanafunzi.

TAASISI ya Don Bosco Net Tanzania yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na kimawazo kutokana na wasichana wengi baada ya kumaliza elimu ya Msingi au  Sekondari  kutofanikiwa kuendelea na masomo yao ya juu kwasababu mbali mbali. Moja wapo ikiwa ada, hali ngumu ya uchumi na maisha inayositisha ndoto yao yakujimudu na kujiendeleza.
Taasisi hiyo imeaanda Kampeni ya...

 

10 years ago

Michuzi

TAROWU YAWATAHADHARISHA MADEREVA KUTOJIHUSISHA NA MIGOMO KATIKA SEKTA YA USAFIRISHAJI

Mwenyekiti wa Chama wafanyakazi wa sekta ya usafirishaji ,Sharifu Mohamed akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salam juu ya wafanyakazi wa sekta hiyo kutojihusisha na migomo ,Kuhoto  Katibu Mkuu  Salum Abdallaha TAROWU,kulia Mlezi wa TAROWU,Yakuub Rajabu (Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii)
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
CHAMA cha  wafanyakazi wa usafirishaji kwa njia ya barabara Tanzania (TAROWU)  kimewatahadharisha  wafanyakazi wa sekta ya usafirishaji...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI WATIKISA NCHI LEO

Madereva wa Vyombo vya Usafirishaji katika maeneo mbalimbali hapa nchini, leo wameingia katika Mgomo wa kutotoa huduma hiyo, kwa kile kinachoelezwa Madereva hao kutakiwa kurudi vyuoni kwa mafunzo zaidi ya usalama barabarani.
Hali ya mgomo huo, umepelekea adha kubwa kwa abiria wa vyombo hivyo, hasa wale waliokuwa wakielekea mikoani, kwani katika Stendi kuu ya Mabasi ya Ubungo jijini Dar es salaam, hakuna basi hata moja lililoondoka huku daladala nazo zikiwa hazionekani kabisa vituoni.
Uongozi...

 

9 years ago

Michuzi

WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET KWA KAMPENI "BINTI THAMANI"

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Don Bosco Net, Celestine Kharkongor akizungumza na mwandishi wetu katika kituo cha Don Bosco Ostabay jijini Dar es Salaam kuhusiana na wasichana kutokubweteka na kukaa nyumbani kulea familia bila kuwa na mafanikio au ujuzi wao wenyewe kwaajili ya kujikwamua kiuchumi.Afisa Mipango wa Taasisi ya Don Bosco Net, Rosemary Njoki akizungumza  leo katika kituo cha Ostabay jijini Dar es Salaam.
TAASISI ya Don Bosco Net yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda aunda kamati kusimamia usafiri

Wakati madereva wa mabasi, malori na daladala wakiendelea na mgomo katika mikoa mbalimbali kuishinikiza Serikali kutekeleza madai yao, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameunda kamati ya kudumu ya kusimamia usafiri wa barabarani.

 

5 years ago

Michuzi

UKUNI YAUNDA KAMATI KUSIMAMIA CHANGAMOTO YA UBOVU WA BARABARA

NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO 
WAKAZI wa Kitongoji cha Ukuni Kata ya Dunda ,wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wameunda Kamati Maalumu itayosimamia ukarabati wa miundombinu ya Barabara ambayo imekuwa kero kwa wananchi . 
Wakiwa katika kikao cha uundwaji wa Kamati hiyo, wajumbe wamejadiliana kwa kina kuhusiana na mchakato huo, unaolenga kuondokana na hali tete ya ubovu wa miundombinu hiyo iliyopo kwenye Kitongoji hicho, ambapo Kamati hiyo inatarajia kuanza kazi mara moja. 
Mwenyekiti wa Kitongoji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Madereva 21 wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wapatiwa mafunzo na NIT, wahitimu wapewa vyeti

0

Wafanyakazi wa Kampuni ya Majinjah Logistics Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na kutoka kushoto mstari wa mbele (wa pili) Mkuu wa Kampuni ya Majinjah,Geoffrey Mwambona, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Majinjah Logistics,Benjamin Mwandete, Mkuu wa Idara ya Tafiti, Machapisho na Masomo ya Elimu ya Juu (NIT), Dk,Ethel Kasembe, Mhandisi, Charles Kisunga na Dereva wa kike wa Majinjah, Grace Andrew.

Wahitimu wa mafunzo ya Udereva wa Kampuni ya Majinjah Logistics wakiwa katika picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani