MGOMO WA MADEREVA WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI WATIKISA NCHI LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-Jgwl1GPfK74/VSefL0Qqi4I/AAAAAAAHQDo/sJ3rJnwy3_8/s72-c/MMGL3176.jpg)
Madereva wa Vyombo vya Usafirishaji katika maeneo mbalimbali hapa nchini, leo wameingia katika Mgomo wa kutotoa huduma hiyo, kwa kile kinachoelezwa Madereva hao kutakiwa kurudi vyuoni kwa mafunzo zaidi ya usalama barabarani.
Hali ya mgomo huo, umepelekea adha kubwa kwa abiria wa vyombo hivyo, hasa wale waliokuwa wakielekea mikoani, kwani katika Stendi kuu ya Mabasi ya Ubungo jijini Dar es salaam, hakuna basi hata moja lililoondoka huku daladala nazo zikiwa hazionekani kabisa vituoni.
Uongozi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Apr
MGOMO WA MADEREVA WA VYOMBO MBALIMBALI VYA MOTO WAANZA LEO
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hdyyI0XKElUdrXKfvddmzYBNDnFcKQ8*EIqKMTPlCZMmFmEY*zjJTLnC3HMzGL8Wu*uEZkSW1pOXZo2cSCfBYBv/11072910_1193242617356821_1829430955630104212_n.jpg)
Muonekano wa abiria wakiwa stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam (Picha na Maktaba).
MADEREVA wa vyombo mbalimbali vya moto, nchi nzima leo asubuhi wamegoma kusafirisha abiria ili kuishinikiza serikali kuondoa kero mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa ajira za uhakika pamoja na agizo la kutaka kwenda kusoma.Awali kabla ya mgomo wa leo, Katibu wa Muungano wa vyama vya madereva Bw. Rashid Saleh, alisema baadhi ya kero zitakazopelekea mgomo wa leo ni pamoja na suala la kurudia kusoma...
10 years ago
GPLMGOMO WA MADEREVA WATIKISA DAR
10 years ago
Vijimambo04 May
Mgomo tena, Madereva wasema leo hakuna basi barabarani nchi nzima
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Sitta-4May2015.jpg)
Takribani siku 22 zikiwa zimepita tangu madereva wagome kutoa huduma za usafiri nchi nzima, leo wametangaza mgomo mwingine kutokana na ukimya dhidi ya madai yao kwa serikali.
Madereva hao jana walitoa tamko la kuwapo kwa mgomo huo kupitia vyama vyao, huku wakikanusha kwamba watagoma sambamba na kuandamana.
Walisema leo watakuwa kwenye ofisi zao za muungano wao zilizopo Ubungo, jijini Dar es Salaam na hawatatoa huduma za usafiri.
Akizungumza na NIPASHE jana,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UxaSUCUbRG4/VUdWRA7CMEI/AAAAAAAADuc/C4Dj3K8Cm2E/s72-c/5.jpg)
HIVI NDIVYO HALI ILIVYO JIJINI MBEYA LEO KUTOKANA NA MGOMO WA MADEREVA UNAOENDELEA NCHI NZIMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-UxaSUCUbRG4/VUdWRA7CMEI/AAAAAAAADuc/C4Dj3K8Cm2E/s640/5.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Z9XLOphb7y0/VUdBM_aE_JI/AAAAAAAADqA/Hok3V4AAerw/s640/10.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s72-c/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s640/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
10 years ago
GPLSAKATA LA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUJULIKANA IJUMAA HII
10 years ago
Dewji Blog04 May
Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchi washinikiza wakutane na Wazri Mkuu Pinda kumaliza mgomo wao!
Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva haiwezekani! muda huu wakiwa wamejikusanya wakimsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike kuongea nao kufikia suluhu (Picha na Andrew Chale, Modewji blog).
Na Andrew Chale, Modewji blog
Mgomo wa madereva umeibuka tena leo Mei 4 baada ya mabasi na magari ya mizigo kugoma tena kwa mara ya pili kwa lengo la...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dtMxrw0J-oQ/VUhjRb3ediI/AAAAAAAHVY8/3iNYU4Odd-c/s72-c/20150504232850.jpg)
Madereva waendelea na Mgomo wao leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-dtMxrw0J-oQ/VUhjRb3ediI/AAAAAAAHVY8/3iNYU4Odd-c/s640/20150504232850.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-MMhCX9aDxMQ/VUhkOPi-sdI/AAAAAAAHVZM/kwEuqT-Desk/s640/20150504232952.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1mmyxEGkzLk/VUhk7WgOBnI/AAAAAAAHVZY/tgy8BLRxqqg/s640/20150504233505.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-sOPIOGq3EYY/VUhr75g4MxI/AAAAAAAHVZw/lJaPLo6C9go/s640/20150504235023.jpg)
10 years ago
VijimamboMADEREVA WA DALADALA JIJINI DAR WAFANYA MGOMO LEO