Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana wapewa kipaumbele kuajiriwa DRC

Zaidi ya vijana 300 waliomaliza elimu ya vyuo Kikuu, Jamuhuri ya Kidemokrai ya Congo wameanza rasmi ajira za umma.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WAPEWA KIPAUMBELE KWENYE KAMATI YA KUSIMAMIA USAFIRISHAJI.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

Madereva wamepewa kipaumbele  kwenye tume itakayokuwaikisimamia usafirishaji,kwani tume hiyo itakuwa na wajumbe watano  kutoka  Umoja wa madereva tuu na kutoka sekta nyingine watakuwa wajumbe watatu .


Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda  wakati akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake  jijini Dar es Salaam leo.


Makonda amesema kuwa kamati hiyo haitaundwa na serikali, wajumbe watatokana na  uchaguzi wa madereva wenyewe pia  na...

 

9 years ago

Michuzi

WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET

Baadhi ya Wanafunzi wakiwa Darasani.Baadhi ya wanafunzi wakijifunza kushona.Masomo yakiendelea kwa baadhi ya wanafunzi.

TAASISI ya Don Bosco Net Tanzania yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na kimawazo kutokana na wasichana wengi baada ya kumaliza elimu ya Msingi au  Sekondari  kutofanikiwa kuendelea na masomo yao ya juu kwasababu mbali mbali. Moja wapo ikiwa ada, hali ngumu ya uchumi na maisha inayositisha ndoto yao yakujimudu na kujiendeleza.
Taasisi hiyo imeaanda Kampeni ya...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Vijana msiwaze kuajiriwa, jiajirini’

Vijana wameshauriwa kuacha kutegemea ajira za ofisini, badala yake watafakari namna ya kujiingiza katika ujasiriamali ili kuondokana na umaskini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana wenye sifa za kuajiriwa wapo vijijini

ASILIMIA 80 ya vijana wenye sifa na uwezo wa kuajiriwa wapo vijijini. Hayo yalielezwa jijini Dar es Salaam jana na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya...

 

9 years ago

Michuzi

WASICHANA WAPEWA KIPAUMBELE NA TAASISI YA DON BOSCO NET KWA KAMPENI "BINTI THAMANI"

 Mkurugenzi wa Taasisi ya Don Bosco Net, Celestine Kharkongor akizungumza na mwandishi wetu katika kituo cha Don Bosco Ostabay jijini Dar es Salaam kuhusiana na wasichana kutokubweteka na kukaa nyumbani kulea familia bila kuwa na mafanikio au ujuzi wao wenyewe kwaajili ya kujikwamua kiuchumi.Afisa Mipango wa Taasisi ya Don Bosco Net, Rosemary Njoki akizungumza  leo katika kituo cha Ostabay jijini Dar es Salaam.
TAASISI ya Don Bosco Net yahamasisha wasichana katika kujiendeleza kimapato na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vijana wilayani Kasulu wapewa somo kuhusu fursa za Mfuko wa Maendeleo ya Vijana

KS1a

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Dani Makanga akizungumza na wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waliofika ofsini kwake kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kuendelea na ratiba yao ya mafunzo kwa Vijana wa Halmashauri za Kasulu na Bihigwe leo mjini Kasulu. Katikati ni Mkuu wa msafara huo ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa na wa kwanza kushoto ni Afisa Vijana wa wizara hiyo Bi. Amina...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO KWA KUJITOLEA NA KUTAKA KUAJIRIWA NA SERIKALI

Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa Julai 10, 1963 na serikali kwa lengo la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza kujitokeza katika jamii baada ya uhuru.
Baadhi ya sababu za kuanzishwa kwa JKT ni:
Kubadili fikra za vijana wa nchi hii kutoka ile hali ya ukoloni kutegemea nchi nyingine kuleta maendeleo.
Kukusanya nguvu za vijana wote wa nchi hii na kuzielekeza kwa umoja wao kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana Lindi wapewa onyo

VIJANA wa Wilaya ya Lindi Mjini wametahadharishwa kutokubali kudanganywa na kutumiwa kufanya vurugu ambazo zinaharibu vitu vichache walivyonavyo na kwa kufanya hivyo wanarudisha nyuma maendeleo yao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana wapewa ushauri wa kibiashara

VIJANA wa Tanzania wametakiwa kuwekeza katika mikoa mbalimbali hususani Lindi na Mtwara ili kuepusha msongamano katika jiji la Dar es Salaam. Hayo yamezungumzwa jana na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani