Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO KWA KUJITOLEA NA KUTAKA KUAJIRIWA NA SERIKALI

Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa Julai 10, 1963 na serikali kwa lengo la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza kujitokeza katika jamii baada ya uhuru.
Baadhi ya sababu za kuanzishwa kwa JKT ni:
Kubadili fikra za vijana wa nchi hii kutoka ile hali ya ukoloni kutegemea nchi nyingine kuleta maendeleo.
Kukusanya nguvu za vijana wote wa nchi hii na kuzielekeza kwa umoja wao kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Serikali iwasikilize vijana hawa waliohitimu JKT

>Tumesikitishwa na nguvu zinazotumiwa na vyombo vya dola kuwadhibiti baadhi ya vijana waliomaliza mafunzo katika kambi za JKT hapa nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

JKT YATANGAZIA VIJANA WA KUJITOLEA WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO MWAKA 2015

Vijana wa kiwa wkwenye gwaride wakatiwa mafunzo ya JKT. 
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga ametangaza kuwa vijana wote wanaotaka kujiunga na mafunzo ya jeshi la kujenga taifa kwa utaratibu wa kujitolea mwaka 2015, wasidanganyike kwa kupatiwa fomu za kujiunga na mafunzo hayo hivi sasa, na badala yake wafuate utaratibu huu hapa chini.
Bofya hapa

 

10 years ago

StarTV

Waliohitimu JKT wahimizwa kuyatumia kwa manufaa ya taifa

Na Magesa Magesa

Arusha

 

Vijana wanaohitimu mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria wameaswa kuyatumia mafunzo wanayoyapata katika kambi mbalimbali hapa nchini kwa faida ya Taifa.

 

Hatua hii inaelezwa kuwa kama itazingatiwa na vijana wanaohitimu mafunzo ya muda mfupi ya JKT upo uwezekano mkubwa wa taifa kuwa na vijana ambao watakuwa waadilifu pindi watakapokuwa wakilitumikia taifa.

Akizungumza na wahitimu hao Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Ntibenda amewataka kuyatumia vizuri katika...

 

9 years ago

Michuzi

RUVU JKT ILIVYOWAKILISHA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUONYESHA MAFANIKIO YA SHUGHULI MBALIMBALI ZA MAJESHI NCHINI

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwasili Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Kikosi namba 832 Ruvu JKT mkoani Pwani jana kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za uzalishaji mali. Kikosi hicho kilichaguliwa kuiwakilisha Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kuonyesha mafanikio ya majeshi nchini katika shughuli mbalimbali zikiwemo za uzalishaji mali ili kuinua uchumi wa taifa.Mkuu wa Utawala na Mafunzo wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenelari, Jacob Gedion Kingu,...

 

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa watakiwa kujenga utamaduni wa kutekeleza wajibu wao kwa kujitolea zaidi

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) akitoa nasaha kwa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati akizindua Balaza la 13 la Michezo leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo. Wajumbe waliohudhuria hafla hizo ni pamoja na ,Mkurugenzi wa PSPF Adam Mayingu, Zacharia Hans Pope, Jamal Rwambow, Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kaimu RC Singida, Alli Kamanzi, aaga vijana 279 wanaokwenda kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa

DSC06999

Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida, Alli Kamanzi, akitoa nasaha zake za kuwaaga vijana 279 waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika kambi mbalimbali nchini. Kushoto ni Mwenyekiti wa kikosi cha JWTZ kanda ya kati, meja Kakwayu.

DSC06991

DSC07002

Baadhi ya vijana kutoka mkoa wa Manyara, Dodoma na Singida, waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la kujenga taifa (JKT) kwenye kambi mbalimbali nchini na safari yao imeanza jana baada ya kuagwa na Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida,A lli Kamanzi.(Picha na...

 

11 years ago

Michuzi

UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014.

AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA...

 

10 years ago

Dewji Blog

UTT-PID na SUMA JKT kujenga nyumba za kisasa za kuuza kwa maofisa wa jeshi na umma nchini

2015-06-26 15.13.03Mtendaji Mkuu wa UTT-PID, Dr. Gration Kamugisha (kushoto) akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu Lt-Colonel, Felix Samillan  baada ya kutiliana saini ya mkataba wa kujenga nyumba za kisasa za kuuza kwa askari na maofisa wa jeshi na umma mradi unaotarajiwa kujengwa Chalinze

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani