Waliohitimu JKT wahimizwa kuyatumia kwa manufaa ya taifa
Na Magesa Magesa
Arusha
Vijana wanaohitimu mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria wameaswa kuyatumia mafunzo wanayoyapata katika kambi mbalimbali hapa nchini kwa faida ya Taifa.
Hatua hii inaelezwa kuwa kama itazingatiwa na vijana wanaohitimu mafunzo ya muda mfupi ya JKT upo uwezekano mkubwa wa taifa kuwa na vijana ambao watakuwa waadilifu pindi watakapokuwa wakilitumikia taifa.
Akizungumza na wahitimu hao Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Ntibenda amewataka kuyatumia vizuri katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi21 Feb
TAARIFA YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO KWA KUJITOLEA NA KUTAKA KUAJIRIWA NA SERIKALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-VfAkxJgxDtg/VOc0eZxe6lI/AAAAAAADN2k/UA-FPaIyxRc/s1600/blogger-image-164819453.jpg)
Baadhi ya sababu za kuanzishwa kwa JKT ni:
Kubadili fikra za vijana wa nchi hii kutoka ile hali ya ukoloni kutegemea nchi nyingine kuleta maendeleo.
Kukusanya nguvu za vijana wote wa nchi hii na kuzielekeza kwa umoja wao kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya...
10 years ago
Mwananchi24 Feb
MAONI: Serikali iwasikilize vijana hawa waliohitimu JKT
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Baraza la ushindani: Tutumieni kwa manufaa ya Taifa na ustawi wa uchumi nchini
Mkuu wa Kitengo cha Masuala ya Uchumi wa Baraza la Ushindani (FCT) Bw. Nzinyangwa Mchany akiwaeleza waandishi wa Habari (Hawapo pichani)Kuhusu majukumu ya Baraza hilo na kutoa wito kwa wananchi kulitumia baraza hilo pale itakapohitajika kwa madhumuni ya ustawi wa uchumi wa Jamii na Taifa kwa ujumla.wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Sheria wa Baraza hilo Bi. Hafsa Said.(Picha na Hassan Silayo MAELEZO).
Na Hassan Silayo-MAELEZO
Baraza la ushindani...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-MxTtU2TR6YM/VgFVyO8V6MI/AAAAAAABIT4/ZByST_qwwsM/s72-c/MALINZI.jpg)
MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO
![](http://4.bp.blogspot.com/-MxTtU2TR6YM/VgFVyO8V6MI/AAAAAAABIT4/ZByST_qwwsM/s640/MALINZI.jpg)
RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.
“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...
9 years ago
Michuzi09 Sep
JKT KUBORESHA MAZINGIRA YA MAFUNZO ILI YAWE NA TIJA ZAIDI KWA WAHITIMU NA TAIFA
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/EemPD693G77rcyCGEELaU_cQO0MHW_JK3VXtH_ewkVxWsTwUaXGQp-pDsKQwDjaQjWg9r2G2x2k13BCEN93n=s0-d-e1-ft#http://www.itv.co.tz/media/image/JKT8.jpg)
Jeshi la kujenga taifa JKT limesema linaendelea na harakati za kuboresha mazingira ya mafunzo kwa vijana wa mujibu wa sheria na wale wa kujitolea ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu na upatikanaji wa vifaa vya mafunzo vinavyojumuisha sare pamoja na viatu ili kuyafanya mafunzo hayo kuwa bora na yenye kuwajenga vijana katika moyo wa uzalendo kwa nchi yao.
Mkuu wa jeshi la kujenga taifa JKT.Meja Jenerali Raphael Muhunga amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya JKT kwa vijana wa mujibu...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qlralvQLbCA/Uwn-FsrthcI/AAAAAAAFPE8/VQACTSdHa2Y/s72-c/IMG_3712.jpg)
Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0
![](http://1.bp.blogspot.com/-qlralvQLbCA/Uwn-FsrthcI/AAAAAAAFPE8/VQACTSdHa2Y/s1600/IMG_3712.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iRYbrDUfPqk/Uwn-Gn-TwHI/AAAAAAAFPFE/eMIQriaeepY/s1600/IMG_3714.jpg)
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Wahimizwa kuutumia mkongo wa taifa
WADAU na wananchi wametakiwa kuongeza matumizi ya Mkongo wa Taifa na kuutumia vizuri ili kujenga jamii habari. Pia, wametakiwa kushirikiana kwa pamoja kuulinda kwa kuwa kumekuwa na desturi ya baadhi...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Wakunga wahimizwa kushirikiana kutengeneza taifa la kesho
Rais wa chama cha wakunga nchini (TAMA), Feddy Mwanga akimkaribisha Ofisa Mtendaji mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wakunga duniani, Frances Ganges (kulia) kuzungumza na wakunga nchini waliokusanyika kwenye mdahalo wa siku moja kuelekea sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa imefanyika mjini Musoma mkoani Mara. Kushoto ni Kaimu Muuguzi mkuu wa serikali kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ama Kasangala. (Picha zote na Zainul Mzige wa...