MAONI: Serikali iwasikilize vijana hawa waliohitimu JKT
>Tumesikitishwa na nguvu zinazotumiwa na vyombo vya dola kuwadhibiti baadhi ya vijana waliomaliza mafunzo katika kambi za JKT hapa nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi21 Feb
TAARIFA YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO KWA KUJITOLEA NA KUTAKA KUAJIRIWA NA SERIKALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-VfAkxJgxDtg/VOc0eZxe6lI/AAAAAAADN2k/UA-FPaIyxRc/s1600/blogger-image-164819453.jpg)
Baadhi ya sababu za kuanzishwa kwa JKT ni:
Kubadili fikra za vijana wa nchi hii kutoka ile hali ya ukoloni kutegemea nchi nyingine kuleta maendeleo.
Kukusanya nguvu za vijana wote wa nchi hii na kuzielekeza kwa umoja wao kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya...
10 years ago
StarTV31 Dec
Waliohitimu JKT wahimizwa kuyatumia kwa manufaa ya taifa
Na Magesa Magesa
Arusha
Vijana wanaohitimu mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria wameaswa kuyatumia mafunzo wanayoyapata katika kambi mbalimbali hapa nchini kwa faida ya Taifa.
Hatua hii inaelezwa kuwa kama itazingatiwa na vijana wanaohitimu mafunzo ya muda mfupi ya JKT upo uwezekano mkubwa wa taifa kuwa na vijana ambao watakuwa waadilifu pindi watakapokuwa wakilitumikia taifa.
Akizungumza na wahitimu hao Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Ntibenda amewataka kuyatumia vizuri katika...
9 years ago
StarTV02 Dec
Vijana waliohitimu VETA watakiwa kujiajiri
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya mafunzo na ufundi stadi VETA Kanda ya Magharibi Tabora Dokta Gerson Nyadzi amewataka vijana waliohitimu elimu ya ufundi kujiajiri badala ya kutegemea ajira rasmi ambayo kwa sasa ni finyu.
Wahitimu wa fani mbalimbali wa chuo cha ufundi stadi VETA mkoa wa Tabora wametakiwa kutekeleza lengo la Serikali la kuanzisha chuo hicho kwa kuitumia elimu waliyoipataka kujiajiri wenyewe ili kupambana na soko la ajira nchini.
Dr. Gerson Nyadzi ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi...
10 years ago
TheCitizen11 Nov
JKT, Vijana cruise in RBA League
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Kiongozi wa vijana JKT atekwa, aokotwa
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Kukamatwa vijana JKT sarakasi tupu
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi nchini na uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wametofautiana kauli kuhusu aliko Mwenyekiti wa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), George Mgoba (28), anayedaiwa kutoroshwa na polisi hospitalini hapo alikokuwa amelazwa.
Mgoba anadaiwa kutoroshwa na polisi baada ya Muhimbili kumruhusu ambapo hadi sasa hajulikani alipo.
Wakati Muhimbili wakisema mgonjwa huyo aliruhusiwa jana saa sita mchana, Jeshi la Polisi...
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Vijana waliopata mafunzo JKT waandamana
Na Asifiwe George, Dar es Salaam,
VIJANA zaidi ya 300 waliopata mafunzo kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wameandamana kwenda Ikulu kumwona Rais Jakaya Kikwete ili asikilize kilio chao na kupinga upendeleo wa ajira ndani ya jeshi.
Maandamano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam jana kwa saa mbili asubuhi kwa vijana hao kujikusanya katika eneo la Jangwani huku wakiwa wameshika bendera nyekundu kupita barabara ya Morogoro, Umoja wa Mataifa hadi Taasisi ya Taifa ya Utafiti...
11 years ago
Habarileo14 May
Awamu ya nne JKT yakosa vijana
AWAMU ya nne ya mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa wahitimu wa Kidato cha Sita iliyokuwa ianze mwanzoni mwa mwaka huu, imekosa vijana kutokana na wengi wao kujiunga na vyuo vya elimu ya juu ambavyo muhula wake umeanza Oktoba mwaka jana.
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Lowassa: Nitaifanya JKT kuzalisha ajira kwa vijana