Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Awamu ya nne JKT yakosa vijana

AWAMU ya nne ya mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa wahitimu wa Kidato cha Sita iliyokuwa ianze mwanzoni mwa mwaka huu, imekosa vijana kutokana na wengi wao kujiunga na vyuo vya elimu ya juu ambavyo muhula wake umeanza Oktoba mwaka jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Awamu ya nne imelisumu taifa!

RAIS wangu awamu ya nne ikiendelea kushupaza shingo na kujifanya kichwa ngumu kisicho na masikio, kitakachojiri si kingine bali utimilifu wa maandiko, “Kilichoingia kwa hila kitaondoka kwa hila!” Awamu ya...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda: Awamu ya Nne imefanikiwa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameelezea mafanikio makubwa yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara, usambazaji wa nishati vijijini, uboreshaji wa huduma za jamii pamoja na utoaji wa mikopo kwa wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Serikali ya awamu ya nne kumaliza vibaya’

Wakati Serikali ya Awamu ya Nne imebakiza takriban mwaka mmoja kuondoka madarakani, sifa ya Tanzania kwenye jumuiya ya kimataifa imeendelea kutiwa doa kutokana na kuhusishwa na ongezeko la ufisadi wa mabilioni ya fedha za umma na ujangili.

 

10 years ago

Mwananchi

Kashfa tano zimeitesa Serikali ya awamu ya nne

Ndugu wasomaji wangu leo nikiwa hapa hapa Tanzania baada ya mwaka wa 2014 kugeuka na sasa tuko 2015, ni mwaka ambao kwanza kwa maombi yangu na kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu tuliouona mwaka 2015 tujiandae kwa mengi makubwa.

 

10 years ago

Michuzi

Hazina yapamba tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne

Vijana wa Kikundi cha “Hisia Theatre Group” wakionesha ujuzi wao wa sarakasi wakati wa tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini leo Dar es salaam ikiwa ni kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.Mwamuzi wa michezo ya sanaa za maonesho na Mhadhiri kutoka chuo Kikuu cha Dar es salaam Delphine Njewele (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwanasheria wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA)...

 

9 years ago

Michuzi

MAFANIKIO YA SHIRIKA LA MZINGA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Kwa kifupi Shirika limeitikia wito wa Serikali wa kuhakikisha mashirika yanayopokea ruzuku toka Serikalini yanajijengea uwezo wa kujitegemea kwa kupunguza utegemezi serikalini. Pia mashirika ya aina hiyo yanawajibika kuendesha tafiti na kuendeleza teknolojia za gharama nafuu zinazolengwa kuwasaidia watanzania kujijengea uwezo wa kujikwamua kiuchumi.Katika kipindi cha miaka 10 ya Serikali ya awamu ya nne Shirika la Mzinga limefanya yafuatayo:-


1.  Uzalishaji wa Baruti

Shirika limezalisha baruti...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Fedha yajivunia Tamasha la Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne

01

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko akitoa hotuba wakati wa kufunga Mashindano ya Tamasha la Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushikiana na Taasisi zake liLIlofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.

02

Meneja Mawasiliano Jamii kutoka Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-T) Margaret Mussai akifafanua jambo kwa Mgeni Rasmi Mkurugenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani