Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFANIKIO YA SHIRIKA LA MZINGA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Kwa kifupi Shirika limeitikia wito wa Serikali wa kuhakikisha mashirika yanayopokea ruzuku toka Serikalini yanajijengea uwezo wa kujitegemea kwa kupunguza utegemezi serikalini. Pia mashirika ya aina hiyo yanawajibika kuendesha tafiti na kuendeleza teknolojia za gharama nafuu zinazolengwa kuwasaidia watanzania kujijengea uwezo wa kujikwamua kiuchumi.Katika kipindi cha miaka 10 ya Serikali ya awamu ya nne Shirika la Mzinga limefanya yafuatayo:-


1.  Uzalishaji wa Baruti

Shirika limezalisha baruti...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATANGAZA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA KUMI YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara yake katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne. Chikawe alisema kupitia taasisi zake yakiwemo Majeshi ya Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Idara ya Wakimbizi pamoja na Idara zingine zilizoko chini ya wizara hiyo, imepata mafanikio makubwa hususani katika jukumu la msingi la ulinzi na usalama wa nchi jambo ambalo...

 

10 years ago

Michuzi

Hazina yapamba tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne

Vijana wa Kikundi cha “Hisia Theatre Group” wakionesha ujuzi wao wa sarakasi wakati wa tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini leo Dar es salaam ikiwa ni kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.Mwamuzi wa michezo ya sanaa za maonesho na Mhadhiri kutoka chuo Kikuu cha Dar es salaam Delphine Njewele (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwanasheria wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Fedha yajivunia Tamasha la Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne

01

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko akitoa hotuba wakati wa kufunga Mashindano ya Tamasha la Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushikiana na Taasisi zake liLIlofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam.

02

Meneja Mawasiliano Jamii kutoka Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-T) Margaret Mussai akifafanua jambo kwa Mgeni Rasmi Mkurugenzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne lafana TCC Chang’ombe

01

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Servacius Likwelile mara baada ya kuwasili viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es salaam ambapo linafanyika tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne mwishoni mwa wiki kuelekea maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Na Eleuteri Mangi

Kuelekea kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru Tanzania Bara, Wizara ya Fedha na Taasisi zake imeanza sherehe hizo kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAELEZEA MAFANIKIO YAKE NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA KIPINDI CHA MWAKA 2005-2015

 Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB), Mhandisi Steven Mlote. Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi Steven Mlote (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya bodi hiyo na serikali ya awamu ya nne kwa kipindi cha mwaka 2005-2015. Kulia ni Msajili Msaidizi wa bodi hiyo, Mhandisi Benedict Mukama na na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Ndani wa ERB, Vicentus Vedasto.
Mkutano na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani