BODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAELEZEA MAFANIKIO YAKE NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA KIPINDI CHA MWAKA 2005-2015
Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB), Mhandisi Steven Mlote. Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi Steven Mlote (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya bodi hiyo na serikali ya awamu ya nne kwa kipindi cha mwaka 2005-2015. Kulia ni Msajili Msaidizi wa bodi hiyo, Mhandisi Benedict Mukama na na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Ndani wa ERB, Vicentus Vedasto.
Mkutano na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi08 Jul
9 years ago
MichuziSerikali kuendelea kuwatumia wahandisi wazalendo waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB)
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE ATANGAZA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA KUMI YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE
9 years ago
VijimamboWIZARA YA UJENZI YAELEZEA MAFANIKIO YAKE KWA KIPINDI CHA MIAKA 10
Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Ven Ndyamkama (kushoto), akizungumza katika mkutano na...
10 years ago
MichuziBODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAKUZA AJIRA NCHINI.
Picha na Aron Msigwa -MAELEZOBODI ya Usajili wa Wahandisi nchini Tanzania (ERD) imefanikiwa kutengeneza ajira 1600 kwa Watanzania kufuatia usajili wa makampuni 160 ya ushauri wa kihandisi yaliyoanzishwa nchini kote nchini katika kipindi cha...
10 years ago
Michuzi08 Oct
TAARIFA FUPI YA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI MKOANI SINGIDA KIPINDI CHA 2005 - 2014
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Taarifa fupi ya mafanikio ya utekelezaji wa shughuli za serikali mkoani Singida kipindi cha 2005 — 2014
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone.
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan.
Jengo la OPD katika Hospitali Mpya ya rufaa ya Mkoa wa Singida.
Jengo la utambuzi wa Magonjwa katika Hospitali Mpya ya rufaa ya Mkoa wa Singida.
TAARIFA FUPI YA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA.doc by moblog
10 years ago
Habarileo05 Aug
Usajili wahandisi ERB waongezeka
BODI ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB) imesema imefanikiwa kusajili wahandisi 15,364 katika kipindi cha serikali ya awamu ya nne.