Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuendelea kuwatumia wahandisi wazalendo waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB)

Na Aron Msigwa  Serikali imesisitiza kuwa itaendelea kuwatumia wahandisi wazalendo waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kutekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu katika maeneo mbalimbali nchini.  Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya Siku ya Wahandisi kwa mwaka 2015 jana  jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa Wahandisi wanao mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi kwa kuifanya mipango iliyo kwenye karatasi kuwa katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAELEZEA MAFANIKIO YAKE NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA KIPINDI CHA MWAKA 2005-2015

 Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB), Mhandisi Steven Mlote. Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi Steven Mlote (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya bodi hiyo na serikali ya awamu ya nne kwa kipindi cha mwaka 2005-2015. Kulia ni Msajili Msaidizi wa bodi hiyo, Mhandisi Benedict Mukama na na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Ndani wa ERB, Vicentus Vedasto.
Mkutano na...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAKUZA AJIRA NCHINI.

Picha. Na.1. Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini Tanzania(ERB) Muhandisi Steven Mlope akiongea na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam kuelezea mafanikio ya Bodi hiyo katika kipindi cha miaka 10 hasa ukuzaji wa sekta ya ajira nchini Tanzania.
Picha na Aron Msigwa -MAELEZOBODI ya Usajili wa Wahandisi nchini Tanzania (ERD) imefanikiwa kutengeneza ajira 1600 kwa Watanzania kufuatia usajili wa makampuni 160 ya ushauri wa kihandisi yaliyoanzishwa nchini kote nchini katika kipindi cha...

 

10 years ago

Habarileo

Usajili wahandisi ERB waongezeka

BODI ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB) imesema imefanikiwa kusajili wahandisi 15,364 katika kipindi cha serikali ya awamu ya nne.

 

9 years ago

GPL

SERIKALI KUENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KWA WAHANDISI WAZALENDO

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Wahandisi kutoka maeneo mbalimbali nchini wakati wa ufunguzi wa Siku ya Wahandisi nchini mwaka 2015 jijini Dar es salaam. Baadhi ya Wahandisi wahitimu kutoka katika vyuo na taasisi mbalimbali wakila kiapo cha utii kwa Taaluma yao mbele ya Kamishna wa Viapo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wahandisi yanayoendelea jijini Dar es salaam.… ...

 

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA TAIFA LA UJENZI KATIKA MKUTANO WA 13 WA BODI YA USAJIRI YA WAHANDISI TANZANIA

 Katibu Mkuu  Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea Banda la NCC katika mkutano wa 13 wa bodi ya Wahandisi TanzaniaKatibu Mkuu  Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ( wa kwanza kulia) akipata maelezo ya baadhi ya machapisho ya kitaalamu ya sekta ya Ujenzi yanayotolewa na Baraza la Taifa la Ujenzi kutoka kwa  Mhandisi Julius Mwita.  Wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Ujenzi wakitoa maelezo ya shughuli za Baraza kwa Wahandisi waliotembelea katika banda la (NCC).  Wa kwaza kulia ni Afisa...

 

5 years ago

Michuzi

Wahandisi wa Ujenzi Wazalendo lazima wajenge Heshima wakati wa kutekeleza Miradi wanayokabidhiwa -BALOZI SEIF ALI IDDI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Wahandisi wa Ujenzi Wazalendo lazima wajenge Heshima wakati wa kutekeleza Miradi wanayokabidhiwa katika misingi ya uaminifu kitendo kitachowajengea SIFA na hatimae kuaminika Zaidi.

Alisema wapo baadhi ya Wataalamu Wazalendo wenye tabia chafu isiyokubalika ya kuwadanganya Viongozi pamoja na Taasisi zilizowakabidhi Miradi ya Ujenzi bila ya kujali kwamba wametia saini Mkataba unaowapa wajibu wa kuutekeleza kwa muda muwafaka.

Balozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahandisi nchini watahadharishwa

Wahandisi nchini wamekumbushwa kuwa makini kwa kutambua viashiria vya hatari na hasara zinazoweza kutokea katika miradi mbalimbali ya ujenzi wanayoisimamia.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kongamano la Wahandisi Desemba 4

TAASISI ya Wahandisi Tanzania, imeandaa kongamano la kimataifa litakalofanyika Desemba 4 na 5 mwaka huu jijini Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu Mtendaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahandisi nchini waonywa

Wahandisi na mafundi nchini wameonywa kutokubali kutumiwa na wanasiasa badala yake wafanye kazi kwa uadilifu na kwa kuzingatia taaluma zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani