Kongamano la Wahandisi Desemba 4
TAASISI ya Wahandisi Tanzania, imeandaa kongamano la kimataifa litakalofanyika Desemba 4 na 5 mwaka huu jijini Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu Mtendaji...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-AFKTjSb5zWE/VekU94gtIgI/AAAAAAAH2Ok/eVkcYaNowWQ/s72-c/unnamed%2B%252871%2529.jpg)
Serikali kuendelea kuwatumia wahandisi wazalendo waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB)
10 years ago
MichuziKONGAMANO LA SIKU MBILI LA UKATILI WA JINSIA DHIDI YA WANAWAKE NA WALEMAVU LILILOANDALIWA NA SHIRIKA LA SEED TRUST LAFIKIA TAMATI MKOANI MOROGORO DESEMBA 9-2014
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 NIMR NA KONGAMANO LA WANASAYANSI WATAFITI LEO
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Wahandisi nchini watahadharishwa
11 years ago
Mwananchi12 May
Wahandisi nchini waonywa
11 years ago
Habarileo29 Jun
Wahandisi waeleza changamoto za uadilifu
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Edwin Ngonyani amesema wahandisi wanakabiliwa na changamoto ya kutakiwa na waajiri wao kufanya kazi kwa matakwa yao na si kufuata taaluma ya kihandisi.
9 years ago
Habarileo02 Sep
Siku ya Wahandisi kuadhimishwa kesho
BODI ya Usajili ya Wahandisi (ERB), imeandaa maadhimisho ya ‘Siku ya Wahandisi Tanzania 2015’ inayolenga kuiwezesha jumuiya ya kihandisi kuonesha umma nini wahandisi wa Tanzania wanaweza kufanya katika kuleta maendeleo ya nchi.
10 years ago
Habarileo05 Aug
Usajili wahandisi ERB waongezeka
BODI ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB) imesema imefanikiwa kusajili wahandisi 15,364 katika kipindi cha serikali ya awamu ya nne.
10 years ago
Habarileo23 Sep
Wahandisi wahamasisha masomo ya sayansi
TAASISI ya Wahandisi Tanzania (IET) imeshauri Serikali kuanzisha kampeni za kuhamasisha masomo ya sayansi na teknolojia katika shule za msingi na sekondari kuwezesha taifa kuwa na wataalamu wa kutosha kutoka katika eneo hilo.