Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzuri wa juisi ya miwa

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi jijini Dar es Salaam wanaouza juisi ya miwa. Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa. Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina virutubisho na madini kwa wingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UWEZO WA AJABU WA JUISI YA KITUNGUU-2

Wiki iliyopita tuliandika kuhusu juisi ya kitunguu, leo tunaendelea kufafanua faida zake hasa kwa nywele za binadamu. Jambo muhimu la kuzingatia wakati wa usiku ni muda wa kumaliza kula na kunywa juisi hiyo. Hakikisha unakunywa juisi yako angalau masaa mawili baada ya kula chakula chako cha mwisho jioni. Kama tatizo lako ni kubwa, kunywa juisi hii asubuhi na jioni hadi utakapoona tatizo la kutoka damu wakati wa kujisaidia...

 

11 years ago

GPL

UWEZO WA AJABU WA JUISI YA KITUNGUU

Kuna magonjwa mengine yakikupata hujui hata namna ya kujitibu. Lakini kwa kutumia vyakula na matunda unaweza ukashangaa namna ambavyo unaweza kuliondoa tatizo ambalo pengine ulidhani halina tiba. Katika makala haya ya leo, nakuletea uwezo wa ajabu unaopatikana kwenye juisi ya kitunguu maji (Onion) kama tiba. Kuna maradhi mengi yanayoweza kutibika kirahisi kabisa kwa kunywa juisi ya kitunguu, vilevile kuna maradhi mengi unaweza...

 

11 years ago

Mwananchi

TBS kuteketeza juisi za Smile Dar

 Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linakusudia kuteketeza kinywaji chenye ladha ya matunda (juisi) kijulikanacho kwa jina la Smile, baada ya kubaini kuwa hakina viwango vinavyohitajika.

 

10 years ago

Mwananchi

TBS yakifungia kiwanda cha juisi

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekifunga kiwanda kidogo cha kutengeneza juisi aina ya Into Orange, kinachomilikiwa na kampuni ya Devideic cha mjini Morogoro, baada ya kubaini bidhaa hizo zina vimelea vya wadudu.

 

10 years ago

Habarileo

TBS yafungia kiwanda cha juisi

Nembo ya TBS.SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) imekifungia kiwanda cha Devideic cha mjini Morogoro kwa muda usiojulikana kuendelea na uzalishaji wa juisi aina ya Into.

 

10 years ago

Habarileo

TBS wateketeza juisi isiyo na viwango

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza tani saba za juisi ya U-Fresh inayozalishwa na Kiwanda cha U-Fresh Food Limited ya Tegeta, Dar es Salaam kwa sababu ya kukosa viwango vya ubora vinavyotakiwa.

 

9 years ago

Mtanzania

89 hoi kwa kunywa juisi harusini

Na Editha Karlo, Kigoma

WAKAZI 89 wa Kijiji cha Rugunga, Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo, baada ya kunywa juisi ya kienyeji inayosadikiwa kuwa na sumu wakati wa sherehe ya harusi.

Tukio hilo limetokea Septemba 6, mwaka huu, baada ya watu hao kunywa juisi na kula chakula kilichoandaliwa katika sherehe hiyo.

Baada ya muda mfupi, waalikwa hao walianza kuumwa matumbo na kuharisha mfululizo hali iliyofanya kukimbizwa hospitali kwa ajili ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Juisi ya nyanya tiba usiyoijua kiafya

Wengi wetu tunaifahamu nyanya kama kiungo kwenye mapishi yetu au hata kachumbari kwenye mlo.

 

11 years ago

GPL

JUISI YA MAJANI YA PAPAI: KIBOKO YA DENGUE

Ugonjwa wa Homa ya Dengue (dengi) umeibuka nchini katika siku za hivi karibuni na kuwa tishio. Ripoti za awali kuhusu Dengi kwa mwaka huu, ziliibuka kwa kishindo baada ya kuwakumba hadi wasanii maarufu. Ni ugonjwa ambao umekuwepo kwa miaka mingi na huwa unajirudia mara kwa mara, lakini kwa mwaka huu umekuja kwa kishindo zaidi. Ugonjwa huu husumbua sana katika nchi za Asia zenye watu wengi, hasa nchini Malyasia ambako imeelezwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani