Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UWEZO WA AJABU WA JUISI YA KITUNGUU

Kuna magonjwa mengine yakikupata hujui hata namna ya kujitibu. Lakini kwa kutumia vyakula na matunda unaweza ukashangaa namna ambavyo unaweza kuliondoa tatizo ambalo pengine ulidhani halina tiba. Katika makala haya ya leo, nakuletea uwezo wa ajabu unaopatikana kwenye juisi ya kitunguu maji (Onion) kama tiba. Kuna maradhi mengi yanayoweza kutibika kirahisi kabisa kwa kunywa juisi ya kitunguu, vilevile kuna maradhi mengi unaweza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UWEZO WA AJABU WA JUISI YA KITUNGUU-2

Wiki iliyopita tuliandika kuhusu juisi ya kitunguu, leo tunaendelea kufafanua faida zake hasa kwa nywele za binadamu. Jambo muhimu la kuzingatia wakati wa usiku ni muda wa kumaliza kula na kunywa juisi hiyo. Hakikisha unakunywa juisi yako angalau masaa mawili baada ya kula chakula chako cha mwisho jioni. Kama tatizo lako ni kubwa, kunywa juisi hii asubuhi na jioni hadi utakapoona tatizo la kutoka damu wakati wa kujisaidia...

 

11 years ago

Mwananchi

Kitunguu swaumu; Kinga ya saratani, malaria

>Harufu yake siku za sikukuu, umuhimu wake kwenye chakula kipendwacho na wengi Tanzania yaani pilau, umekifanya kuwa kiungo muhimu cha chakula nchini.

 

9 years ago

Michuzi

WAJENGEWA UWEZO ILI KUFANYA UTAFITI WA HALI YA KIELIMU WILAYANI TARIME KUPITIA MRADI WA UWEZO.

Washiriki wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 16 katika Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Na:Binagi Media GroupSemina hiyo imeratibiwa na...

 

11 years ago

GPL

YAJUE MARADHI YANAYOWEZA KUTIBIKA KWA KITUNGUU TU - 3

LEO ni sehemu ya mwisho ya mfululizo wa makala za kitunguu na ningependa kumalizia kwa kusimulia kisa kimoja cha maajabu ya kitunguu kilichotokea zama za kale kwa mfalme kisha tumalizie na tiba. Zama za kale, Mfalme Herode wa Misri aliwaita wataalamu wote wa tiba nchini kwake na kuwauliza kulikoni yeye alale kitandani kwa maradhi na kushindwa kuufurahia ufalme wake ilihali wao wapo? Mkubwa wa wataalamu hao alimjibu kwa kifupi tu:...

 

11 years ago

GPL

YAJUE MARADHI YANAYOWEZA KUTIBIKA KWA KITUNGUU TU - 2

Mpendwa msomaji, leo bado tunaendelea kudadavua faida za kitunguu na uwezo wake wa kutibu au kutoa nafuu kwa magonjwa makubwa na ya hatari. Katika kusheheneza umuhimu wa kitunguu, wataalamu wa tiba mbadala duniani wamegundua pia kitunguu kina safisha ubongo na kuongeza uwezo wa kufikiri. TIBA YA KIFUA NA PUMU
Jinsi ya kutumia kitunguu kama tiba ya kifua kikuu na pumu; Twanga kitunguu kikubwa kisha changanya na asali kikombe...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MADINI ALITAKA SHIRIKA LA MAENDELEO LA TAIFA (NDC) KUVITAMBUA VIPAJI NA UWEZO WAANZILISHI WA VIWANDA ILI KUWAJENGEA UWEZO

Waziri wa Madini Dotto Biteko amelitaka shirika la maendeleo la taifa (NDC)kujipa muda wa kuvitambua vipaji na uwezo walionao waanzilishi mbalimbali wa viwanda na kuona wanawasaidiaje katika kukuza uwezo wao badala ya kukimbilia kuulizia vibali au leseni ya shughuli zao.

Biteko ameyasema hayo alipotembelea kiwanda kidogo cha kulainisha chuma kilichopo katika kata ya Lubonde wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kinachomilikiwa na Bw. Reuben Mtitu (Mzee Kisangani) na kuona uwezo wake katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Uzuri wa juisi ya miwa

Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi jijini Dar es Salaam wanaouza juisi ya miwa. Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa. Sukari halisia ni nzuri kwa mwili kwani ina virutubisho na madini kwa wingi.

 

10 years ago

Mwananchi

TBS yakifungia kiwanda cha juisi

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekifunga kiwanda kidogo cha kutengeneza juisi aina ya Into Orange, kinachomilikiwa na kampuni ya Devideic cha mjini Morogoro, baada ya kubaini bidhaa hizo zina vimelea vya wadudu.

 

10 years ago

Habarileo

TBS wateketeza juisi isiyo na viwango

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza tani saba za juisi ya U-Fresh inayozalishwa na Kiwanda cha U-Fresh Food Limited ya Tegeta, Dar es Salaam kwa sababu ya kukosa viwango vya ubora vinavyotakiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani