Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBS yakifungia kiwanda cha juisi

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekifunga kiwanda kidogo cha kutengeneza juisi aina ya Into Orange, kinachomilikiwa na kampuni ya Devideic cha mjini Morogoro, baada ya kubaini bidhaa hizo zina vimelea vya wadudu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TBS yafungia kiwanda cha juisi

Nembo ya TBS.SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) imekifungia kiwanda cha Devideic cha mjini Morogoro kwa muda usiojulikana kuendelea na uzalishaji wa juisi aina ya Into.

 

10 years ago

Habarileo

TBS yafunga kiwanda cha chumvi Bagamoyo

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limefunga kwa muda usiojulikana kiwanda cha kuzalisha chumvi cha mjini hapa, Sea Salt Limited kutokana na udanganyifu na uzalishaji wa chumvi chafu, yenye kiwango kidogo cha madini joto.

 

10 years ago

Habarileo

TBS wateketeza juisi isiyo na viwango

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza tani saba za juisi ya U-Fresh inayozalishwa na Kiwanda cha U-Fresh Food Limited ya Tegeta, Dar es Salaam kwa sababu ya kukosa viwango vya ubora vinavyotakiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

TBS kuteketeza juisi za Smile Dar

 Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linakusudia kuteketeza kinywaji chenye ladha ya matunda (juisi) kijulikanacho kwa jina la Smile, baada ya kubaini kuwa hakina viwango vinavyohitajika.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATUA MGOGORO WA KIWANDA CHA CHAI CHA LUPONDE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na   Ali Juma Mkangala ,mmoja washiriki wa Mkutano wa Kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponda kilichopo Bumbuli Tanga. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi  ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Septemba  13, 2014.Mbunge wa Mlalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Hassan Ngwilizi (kushoto) na Mbunge wa  Bumbuli , Januari Makamba (kulia) wakiteta na Waziri wa Kilimo , Chakula na Ushiriki Mhandisi Christopher  Chiza katika mkutano wa kutatua mgogoro wa kiwanda...

 

11 years ago

Michuzi

kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro chaadhimisha miaka mitano ya kiutendaji

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene (kulia) akiingia katika ukumbi kwa ajili ya halfa fupi ya miaka mitano ya kiwanda cha nguo cha Mazava cha Morogoro mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Joel Bendera (kushoto). Kiwanda hicho kinafanya kazi kwa leseni ya EPZA. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene akiongea wakati wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.
Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua kiwanda cha Nondo cha Kamal Steel Limited

PG4A1979

Waziri Mkuu,  Mizengo Pinda  akikata utepe kuzindua  upanzi wa  kiwanda cha Kamal Steel LTD  kilichopo Chng’ombe jijini Dar es salaam August 17, 2014. Kulia kwake ni  Mwenyekiti wa kamal Steel  Limited, Gagan  Kamal . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1982

PG4A1995

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo  kutoka kwa mtaalamu wa viwango wa kiwanda  cha nondo cha  Kamal Steel  Limited cha Chang’ombe jijini Dar es salaam,  Bwana Jijo  kuhusu upimaji ubora wa nondo unaofanywa kitaalamu katika kiwanda...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara.
  Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote  wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani