TBS yafunga kiwanda cha chumvi Bagamoyo
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limefunga kwa muda usiojulikana kiwanda cha kuzalisha chumvi cha mjini hapa, Sea Salt Limited kutokana na udanganyifu na uzalishaji wa chumvi chafu, yenye kiwango kidogo cha madini joto.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Serikali yafunga Kiwanda cha Urafiki
MAULI MUYENJWA NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
SERIKALI imekifunga Kiwanda cha Nguo cha Urafiki kutokana na mgomo wa wafanyakazi uliotokea jana wakiutaka uongozi kuwalipa malimbikizo ya madai yao ikiwamo mishahara.
Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, Paul Makonda, alitangaza kukifunga kiwanda hicho hadi Desemba 7 mwaka huu yatakapotolewa majibu ya kuridhisha kuhusu changamoto zilizosababisha mgomo huo.
Mgomo katika kiwanda hicho ulianza wiki kadhaa zilizopita ambako mkuu huyo wa wilaya aliuagiza...
10 years ago
Habarileo16 Aug
NEMC yafunga kiwanda cha kusindika punda Dom
BARAZA la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefungia na kukitoza faini ya Sh milioni 200 kiwanda cha kusindika nyama ya punda cha Huwacheng kilichopo katika Kata ya Kizota, mjini hapa.
10 years ago
Habarileo30 Dec
TBS yafungia kiwanda cha juisi
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) imekifungia kiwanda cha Devideic cha mjini Morogoro kwa muda usiojulikana kuendelea na uzalishaji wa juisi aina ya Into.
10 years ago
Mwananchi30 Dec
TBS yakifungia kiwanda cha juisi
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Mwaka mmoja baada ya kuanzishwa; Halmashauri ya bumburi yafunga kiwanda cha chai
10 years ago
Mwananchi05 Feb
TBS yateketeza chumvi tani moja na nusu
10 years ago
Mwananchi21 Feb
NEMC yafunga kiwanda Moro
9 years ago
Michuzi
5 years ago
CCM BlogSERIKALI YAFUNGA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA SITA KWA SIKU 30 KUIHAMI NCHI NA CORONA, YAFUNGA PIA MIKUSANYIKO YA SIASA NA MICHEZO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua za awali zilizochukuliwa na Serikali kutokana na kuwepo nchini virusi vya ugonjwa wa Corona.
DAR ES SALAAM, Tanzania
Serikali imezifunga shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 na pia kuzuia mikusanyiko yoyote ikiwemo ya siasa na michezo ili kuihami nchi na ugonjwa wa Corona ambao umethibishwa kuingia nchini kufuatia kupatikana kwa mgonjwa mmoja wa ugonjwa huo hapa nchini.
Hatua hizo...