TBS yateketeza chumvi tani moja na nusu
Shirika la Viwango Tanzania TBS limeteketeza chumvi ya tani 1.5 yenye thamani ya shilingi 500,000 kutoka kampuni ya Seasalt baada ya kugundulika kutokidhi viwango .
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
TFDA yateketeza bidhaa tani 3
MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), imeteketeza bidhaa mbalimbali zisizo na ubora za vipodozi, chakula na vifaatiba vipatavyo tani 3 vyenye thamani ya sh milioni 9. Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Habarileo15 Nov
TFDA yateketeza tani 6 za vipodozi
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Kanda ya Kati Dodoma (TFDA), imeteketeza vipodozi vyenye viambata vya sumu vyenye uzito wa tani tano na nusu vyenye thamani ya zaidi la Sh milioni 48.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
TBS yateketeza marobota ya mitumba
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limeendesha operesheni maalumu katika masoko makubwa ya nguo za mitumba katika miji ya Moshi na Arusha yanayodaiwa kuwa wauzaji...
10 years ago
Habarileo02 Jan
TBS yafunga kiwanda cha chumvi Bagamoyo
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limefunga kwa muda usiojulikana kiwanda cha kuzalisha chumvi cha mjini hapa, Sea Salt Limited kutokana na udanganyifu na uzalishaji wa chumvi chafu, yenye kiwango kidogo cha madini joto.
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Serikali yapeleka neema ya maji Manyoni, kutumia Bil moja na nusu
Picha juu na chini ni Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makala, akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kijiji cha Makale na Itagata jimbo la Manyoni magharibi.Makala alikuwa jimbo la Manyoni magharabi kwenye ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi, John Paulo Lwanji.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala (Mb), amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida na kutangaza neema ya maji baada ya kusema kuwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-nPFN467yEdw/VYWrqsn1yyI/AAAAAAADsbs/YXy46E88d0w/s72-c/news1FM3723059281701795.jpg)
Dakika moja na nusu ya michano mikali kutoka kwa Ay ‘El Chapo’ isikilize hapa.
![](http://4.bp.blogspot.com/-nPFN467yEdw/VYWrqsn1yyI/AAAAAAADsbs/YXy46E88d0w/s640/news1FM3723059281701795.jpg)
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Kampuni ya Edosama kutoa madawati milioni moja na nusu bure kwa nchi nzima
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/eNLs9HYEbKY/default.jpg)
10 years ago
Bongo527 May
‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini yaingia kwenye Official African Chart ya MTV Base