TFDA yateketeza bidhaa tani 3
MAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA), imeteketeza bidhaa mbalimbali zisizo na ubora za vipodozi, chakula na vifaatiba vipatavyo tani 3 vyenye thamani ya sh milioni 9. Akizungumza na waandishi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Nov
TFDA yateketeza tani 6 za vipodozi
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Kanda ya Kati Dodoma (TFDA), imeteketeza vipodozi vyenye viambata vya sumu vyenye uzito wa tani tano na nusu vyenye thamani ya zaidi la Sh milioni 48.
10 years ago
Mwananchi10 Sep
TFDA yateketeza bidhaa za mamilioni ya shilingi
10 years ago
MichuziTFDA YATEKETEZA BIDHAA FEKI ZENYE THAMANI YA SH MIL.5, SIKONGE MKOANI TABORA
Na Allan Ntana, Sikonge
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imefanikiwa kukamata na kuteketeza bidhaa mbalimbali za chakula, vinywaji, dawa za binadamu na mifugo, vipodozi na vifaa tiba vilivyoisha muda wake na vingine feki vyenye thamani ya zaidi ya sh mil.5...
10 years ago
Habarileo18 Nov
TFDA yakamata tani 313.4 za bidhaa zisizofaa
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema kwa mwaka 2013/14 ilipokea jumla ya bidhaa zenye uzito wa tani 313.4 zenye thamani ya Sh milioni 962 ambazo zimethibitishwa kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu.
10 years ago
Mwananchi05 Feb
TBS yateketeza chumvi tani moja na nusu
9 years ago
Mwananchi15 Dec
TFDA yateketeza shehena ya vipodozi
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
TFDA yakamata tani 34 za vipodozi hatari
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imesema katika kaguzi za mwaka 2012 hadi 2013 wamekamata jumla ya tani 34 za vipodozi visivyofaa vyenye thamani ya sh milioni 188. Ofisa Habari...