Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya Edosama kutoa madawati milioni moja na nusu bure kwa nchi nzima

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Edosama Hardware Ltd, Edward Maduhu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu mradi wa kutengeneza madawti hayo na changamoto ya kukwamishwa kwa mradi huo na baadhi ya wafanyabiashara kwa kushirikiana na watendaji wa serikali. Kulia ni Meneja Mwendeshaji wa Shule za St Marys, Didas Mhoja  na Kushoto ni  Mmoja wa Wakurugenzi wa kampuni hiyo, Jonas Mnzava.  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Edosama Hardware Ltd,...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VYANDARUA MILIONI 24 KUGAIWA BURE NCHI NZIMA

 Kaimu Katibu Mkuu wa  Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Michael John akiandika maswali aliyeulizwa na waandisshi wa habari (hawapo pichani ) juu ya maadhimisho ya siku ya malaria duniani iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini ,Dar es Salaam,Kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani-Tanzania,Dk.Ritha Njau,Kulia ni Naibu Mkurugezi Kituo cha Utafiti cha Ifakara,Dk.Abdulrazq Badru. Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Michael John akizungumza na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

RHMI kutoa huduma ya kiroho nchi nzima

TAASISI inayotoa huduma za kijamii na kiroho za kimataifa (RHMI) wamezindua mkakati wa kuzunguka nchi nzima katika kutekeleza utoaji wa huduma ya kijamii na kiroho. Akizungumza katika uzinduzi wa huduma...

 

10 years ago

GPL

KAMPUNI YA OFF GRID ELETRIC KUFUNGA UMEME WA SOLA NYUMBA MILIONI MOJA NCHINI

 Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Lutengano Mwakahesya (PhD) (kushoto), pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Off Grid Electric Ltd, wakionesha seti ya mfumo wa vifaa vya umeme wa sola ambavyo vitatumika katika mpango wa kutumia umeme wa sola kwa nyumba milioni 1 wakati wakiwaonesha waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi.   Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA),...

 

10 years ago

Mtanzania

Nchi gizani kwa saa 12 wiki nzima

tanekoNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuanza kukata umeme leo kwa mikoa inayotumia gridi ya taifa kwa   wiki moja kwa  saa 12 kila siku.

Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco,   Felchesmi Mramba alitaja baadhi ya mikoa ambayo itakumbwa na tatizo hiyo kuwa ni   Dar es Salaam, Mbeya,  Lindi, Mwara, Mwanza, Arusha na mingine.

Alikuwa  akizungumza na wandishi wa habari  jana kwenye ziara   ya kutembelea mitambo ya Kinyerezi na Ubungo,  Dar es Salaam.

“Umeme...

 

11 years ago

Michuzi

Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors - Charles Ekerege

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii

MKURUGENZI wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekerege, amekiri mahakamani kwamba Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na hivyo, na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ilitoa onyo kali na kuitaka isirudie kosa hilo.
Aidha, ameeleza kuwa hakutoa msamaha huo yeye binafsi bali menejimenti iliyoketi chini ya wakuu wa idara sita za shirika hilo ilipitisha na kwamba kutokana na kampuni hizo mbili...

 

11 years ago

Dewji Blog

EOTF kutoa Mafunzo kwa Wanawake Wajasiriamali bure

DSC_4478

Mkurugenzi Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi, ni mmoja wa watoa mada katika semina hiyo.

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) utaendesha Semina ya mafunzo ya siku 3 kwa Wanawake Wajasiriamali itakayofanyika kuanzia tarehe 23 hadi tarehe 25 Juni 2014, kuanzia saa 2 asubuhi katika ukumbi wa JKT Mgulani, Temeke,jijini Dar es salaam.   Lengo la mafunzo haya kwa mwaka huu ni kuwaelimisha wanawake jinsi ya kupata mitaji kwa ajili ya biashara, masoko pamoja na stadi za ujasiriamari.   Katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari Kutoa huduma bure kwa watoto Tanzania.

Madaktari bingwa toka nchini Marekani watawasili nchini Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa sita ( june 2015 kwaajili ya kutoa huduma ya BURE kwa watoto wote wenye tatizo la kuzaliwa na mpasuko wa mdomo ( cleft lip). Huduma hizi zitafanyikia hospitali ya mkoa ya Mount Meru Arusha. Watoto toka mikoa yote wana karibishwa.Kama una mjua mtoto yeyote mwenye hili tatizo, tafadhali toa taarifa kwa mzazi au ndugu muhusika. Mwenye kuhitaji maelezo zaidi kwa wale walioko hapa Marekani, Tafadhali wasiliana...

 

10 years ago

Vijimambo

Dakika moja na nusu ya michano mikali kutoka kwa Ay ‘El Chapo’ isikilize hapa.

Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Ay can still do it kwenye rap kama alivyothibitisha kwenye El Chapo iliyorekodiwa na Marco Chali. Sauti ya Jokate pia ipo kwenye Clip hii

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani