Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors - Charles Ekerege
![](http://4.bp.blogspot.com/-7HckCxKdxYw/U9pfN_I4oKI/AAAAAAAF8DU/NPIuD2Gg21U/s72-c/ekerege-dini+ya+ufisadi.jpg)
Na Mwene Said wa Blog ya Jamii
MKURUGENZI wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekerege, amekiri mahakamani kwamba Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na hivyo, na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ilitoa onyo kali na kuitaka isirudie kosa hilo.
Aidha, ameeleza kuwa hakutoa msamaha huo yeye binafsi bali menejimenti iliyoketi chini ya wakuu wa idara sita za shirika hilo ilipitisha na kwamba kutokana na kampuni hizo mbili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bYSKMi_bzjY/VMXk9D9rHxI/AAAAAAAG_dg/rAORO3gzyQg/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE UMEFUNGUA/UNATAKA KUFUNGUA KAMPUNI, JIFUNZE KAMPUNI YAKO INAVYOTAKIWA KULIPA KODI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bYSKMi_bzjY/VMXk9D9rHxI/AAAAAAAG_dg/rAORO3gzyQg/s1600/images.jpg)
Vijana wengi wajasiriamali wadogo wamefungua makampuni. Hakika wote waliofanya hivi wamefanya jambo jema linaloendana na wakati. Niliwahi kuandika wakati nikielekeza namna nyepesi kabisa ya kufungua kampuni kuwa, ni vigumu kwa leo kufanya biashara na ukawa na mafanikio nje ya kampuni. Nikasema hata kama unauza maziwa, mama ntilie, unauza mayai, kibanda cha huduma ya fedha kupitia simu,unauza mihogo, haizuiwi kufungua kampuni.
Kuna kampuni hata za mtaji...
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Mercedes -Benz CFAO Motors yakabidhi malori 15 kwa kampuni ya mizigo SIGNON
Meneja Mauzo wa Maroli ya Mercedes Benz (CFAO MOTORS), Bw Jerome Sentmea (kushoto), akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurungenzi wa Kampuni ya Usafirishaji mizigo (SIGNON), Bw Daniel Kiyan,malori 15 yamekabidhiwa kwa Mkurugenzi huyo kwaajili yakusafirishia mizigo wengine wanaoshuhudia (katikati), Afisa Mauzo wa Cfao Motors Bi Manka Oriyo, na wakwanza kulia Afisa Masoko na Huduma Cfao Motors Bi Angelina Ndege makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya ofsi ya MERCEDES BENZ CFAO MOTORS...
10 years ago
MichuziKAMPUNI ZA ASAS ZAONGOZA KWA ULIPAJI KODI BORA KWA MKOA WA IRINGA
KWA HABARI ZAIDI...
10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Kampuni yawaomba msamaha wanawake
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s72-c/unnamed.jpg)
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Kodi Tanzania (TAWNET) umeipongeza kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuwa walipa kodi bora wakubwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-4-mHwGbycbQ/VHMXZepYdnI/AAAAAAAGzKw/ynkd-XeJi8Y/s1600/unnamed.jpg)
Sambamba na kampuni ya Vodacom, TAWNET pia imeipongeza kampuni ya bia Tanzania (TBL) na Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) kuweza kushika nafasi katika makampuni matatu bora. Mwaka huu, mchango wa Vodacom katika pato la taifa umeongezeka na kuisukuma kampuni hiyo katika nafasi ya pili kutoka ya tatu waliyoshika...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qd_3V6hDeWY/VXBQZeC1ssI/AAAAAAAHb6M/jJGoy4XNVAQ/s72-c/unnamed%2B%252876%2529.jpg)
KAMPUNI YA SWALA YAGAWA UMILIKI WA ASILIMIA 25 ZA RIBA YA LESENI KWA KAMPUNI YA TATA PETRODYNE LIMITED
![](http://4.bp.blogspot.com/-qd_3V6hDeWY/VXBQZeC1ssI/AAAAAAAHb6M/jJGoy4XNVAQ/s400/unnamed%2B%252876%2529.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NszFa7NTsoI/Xkg-6HN82hI/AAAAAAALdhs/RzCmMJiYjiscFub-uKaQLNU0u0W6ws7DwCLcBGAsYHQ/s72-c/17703646_303.jpg)
Kampuni ya Zola yaahidi kutoa mitambo kwa wanafunzi
Ahadi hiyo ilitolewa jana Jijini Arushawakati wa uzinduzi wa ofisi ya Zola mkoani Arusha,Mkurugenzi wa Kampuni ya Zola Afrika Mashariki Yusuph Nassor alisema serikali ya sasa imejilota mumsaidia mtoto kielimu kwa kutoa elimu bure, hivyo na wao wanaunga mkono jitihada hizo.
Licha ya kusaidia sekta ya elimu...
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Kampuni ya Asas Dairies Ltd kwa mwaka wa tatu mfululizo yashikilia tuzo ya ubora, yazibwaga kampuni kongwe
![](http://lh3.googleusercontent.com/-Hu7bI-xcrDI/VXgzNZhV3pI/AAAAAAAB9kk/CP-0xXS3x-w/s640/blogger-image-1808652216.jpg)
![](http://lh3.googleusercontent.com/-fr4V4xm3ZkM/VXgy6EPLKRI/AAAAAAAB9j8/qCw_lVL3whE/s640/blogger-image--1152033488.jpg)
Medali ,vyeti na tuzo ya ushindi ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda tena mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.
Vyeti na medali tatu ambazo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda tena.
![](http://lh3.googleusercontent.com/-meOkZRHnyBs/VXgX3u_BcOI/AAAAAAAB9jk/HyLEx-Gjc-c/s640/blogger-image--833356817.jpg)
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA MAFUTA YA TOTAL YAHAMASISHA UPENDO KWA KUTOA ZAWADI YA 'VALENTINE DAY' KWA WATEJA
Meneja Maduka, Chakula na Huduma wa Kampuni ya Total nchini Tanzania Jane Mwita akitoa zawadi ya ua kama ishara ya upendo kwa wateja wao ambao wamefika kujaza mafuta katika Kituo cha Mafuta cha Total cha Mliman City jijini Dar es Salaam.Kampuni hiyo imeamua kusambaza upendo katika siku ya Valentine.
Meneja wa Kituo cha Mafuta cha Total Mliman City jijini Dar es Salaam Luqman Salum akitoa zawadi ya ua kwa mteja wao ambaye amefika kujaza mafuta kwenye kituo hicho leo siku ya Valentine...