KAMPUNI YA SWALA YAGAWA UMILIKI WA ASILIMIA 25 ZA RIBA YA LESENI KWA KAMPUNI YA TATA PETRODYNE LIMITED
![](http://4.bp.blogspot.com/-qd_3V6hDeWY/VXBQZeC1ssI/AAAAAAAHb6M/jJGoy4XNVAQ/s72-c/unnamed%2B%252876%2529.jpg)
Kampuni ya mafuta na gesi ya Swala (Tanzania) Plc ("swala" au "Kampuni") inayo furaha kutangaza kwamba imefikia makubaliano ya kugawana umiliki na Kampuni ya Tata Petrodyne Limited ("TPL"), kampuni ambayo ni sehemu ya Kampuni ya Kimataifa ya Tata sons Limited, ambapo TPL itakuwa ikifanya shughuli zake kwenye maeneo ya leseni ya Pangani na Kilosa-Kilombero nchini Tanzania. Hii itaiwezesha Kampuni ya swala kubaki kwenye maeneo yake ya leseni na ili kupata fedha kwa ajili ya shughuli za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA TINGATINGA IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA BRICOLEUR HOLDINGS Co.LIMITED YA JAPAN.
Makabidhiano ya Mkataba huo yamefanyika leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya Bricoleurholdings Co.Limited, Shoji Tsuchiya amemkabidhi mkataba huo Mwenyekiti wa Chama Cha Tingatinga, Zack Chimwanda, amesema kuwa kazi hii ya...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAGAWA ZAWADI ZA EIDD EL FITR KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa mtoto Sophia Said wa kituo cha Yatima cha Maunga cha Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa ni masandalizi ya Sikukuu ya Idd El Fitr.
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Kampuni ya Sayed Corporation Limited yatoa gari la wagonjwa kwa hospitali ya Endulen ya Ngorongoro
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gari la kubeba wagonjwa lililotolewa na kampuni ya Sayed Corporation Limited kwa ajili ya hospitali ya Endulen ya Ngorongoro . Gari hilo lilikabidhiwa kwa Waziri Mkuu, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015 na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Masood ur Rehman Sayed (kulia kwake) jijini Dar es slaam . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3rYO1fT7-a8/VMapyZS60II/AAAAAAAG_o0/ZnWy8X5VYn0/s72-c/12.jpg)
MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA
![](http://4.bp.blogspot.com/-3rYO1fT7-a8/VMapyZS60II/AAAAAAAG_o0/ZnWy8X5VYn0/s1600/12.jpg)
Katika makala iliyopita nilisema kuwa vijana wengi wajasiriamali wanaofungua biashara za makampuni wanao uwezo mkubwa wa kufika mbali isipokuwa tatizo lao ni taarifa za mambo mbalimbali kuhusu uendeshaji wa kampuni hizo.
Mambo ya uendeshaji wa kampuni ni mepesi sana na yanawezwa na mtu yeyote isiopokuwa tatizo ni taarifa na elimu ya namna ya uendeshaji kisheria ili kampuni ionekane ni kampuni. Nilieleza...
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Manchester City yauza hisa asilimia 13 kwa kampuni ya kichina
Mmiliki wa Klabu ya Manchester City’s Sheikh Mansour (kulia) akifurahi jambo na Mwenyekiti wa klabu ya Manchester City’s Khaldoon Al Mubarak katika moja ya mechi za klabu hiyo.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kampuni ya City Football Group (CFG) ambao ndiyo wamiliki wa Manchester City FC, New York City FC na Melbourne FC wameuza hisa asilimia 13 kwa Kampuni ya Habari ya China (CMC) kwa Dola za Kimarekani Milioni 400.
Hisa hizo zimeuzwa na Sheikh Mansour ambae ndiyo mmiliki wa kampuni ya CFG...
11 years ago
Michuzi18 Jun
uuzaji wa hisa za kampuni ya 'Swala Energy' zinazotolewa kwa mara ya kwanza kwa shilingi 500 kwa hisa.
11 years ago
Habarileo12 Aug
Kampuni ya Swala yaingia Soko la Hisa
KAMPUNI ya Swala Oil & Gas jana imejiorodhesha rasmi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kupitia mlango wa soko dogo, yaani Enterprise Growth Market (EGM) ambalo ni mahususi kwa ajili ya kampuni ndogo na kati.
5 years ago
MichuziTAKUKURU YAKAMILISHA UCHUNGUZI WA MAKUBALIANO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KAMPUNI YA ROM SOLUTIONS KWA ASILIMIA 99.9
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola na aliyekuwa Kamishina wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Thobias Andengenye pamoja na watumishi wengine wa umma 15 wamekutwa na tuhuma ya makosa, baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) kukamilisha uchunguzi wa makubaliano ya Jeshi la Zima Moto na Uokoaji na kampuni ya ROM solution kupitia mkataba uliohusu upatikanaji wa mkopo wa Euro 408,416,288.16 ambazo ni sawa shilingi Trilioni...
10 years ago
MichuziBODI YA MICHEZO YA BAHATI NASIBU YAKABIDHI LESENI KWA KAMPUNI YA MURHANDZIWA KUENDESHA MICHEZO HIYO