Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni yawaomba msamaha wanawake

Kampuni inayotengeneza nguo za riadha nchini Indonesia, imeomba msamaha, kwa kuuza t-shati za kandanda, za kuwadhalilisha wanawake

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors - Charles Ekerege

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii

MKURUGENZI wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekerege, amekiri mahakamani kwamba Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na hivyo, na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ilitoa onyo kali na kuitaka isirudie kosa hilo.
Aidha, ameeleza kuwa hakutoa msamaha huo yeye binafsi bali menejimenti iliyoketi chini ya wakuu wa idara sita za shirika hilo ilipitisha na kwamba kutokana na kampuni hizo mbili...

 

10 years ago

Habarileo

Wafungwa wanawake Kingulwira waomba msamaha kwa Kikwete

PinguWAFUNGWA katika Gereza Kuu la Wanawake la Kingulwira, Morogoro wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwapa msamaha katika gereza hilo kwa sababu wamejirekebisha.

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyosaidia kuinua wanawake nchini Tanzania


Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia.
Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni kutokana na nguvu za serikali, taasisi na watu binafsi kuweka mazingira ya upatikanaji wa elimu kwa mtoto wa kike na haki ya mwanamke kumiliki na kutumia ardhi.Licha ya maendeleo hayo, yapo mengi ambayo...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark, Antu Mandoza na Nuru Lyau.Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa warsha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Trumark yaandaa warsha maalumu maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi, 7, 2015

1

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark,  Antu Mandoza na Nuru Lyau.

Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yawaomba radhi wateja 

KAMPUNI ya simu za mikononi ya Vodacom imewaomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma. Akizungumza na Tanzania  Daima jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, alisema hali...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ITAKAYOFANYIKA MACHI, 7, 2015 MLIMANI CITY JIJINI DAR.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark,  Antu Mandoza na Nuru Lyau. Mratibu wa Warsha hiyo Antu Mandoza (kulia), akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa...

 

9 years ago

Michuzi

SUMATRA yawaomba wananchi kupendekeza nauli za BRT

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya UDA Rapid Transit (UDA-RT), Bw. David Mgwassa akifafanua jambo wakati wa majadiliano ya wadau juu mapendekezo ya nauli zitakazotumika na mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam jana.  Majadiliano hayo yanaendelea.Wadau wa sekta ya usafiri wakiwa katika majadiliano ya mapendekezo ya nauli zitakazotumika baada ya kuanza kwa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jana jijini Dar es Salaam.  Majadiliano ya mapendekezo hayo yaliyotolewa na kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani