Wafungwa wanawake Kingulwira waomba msamaha kwa Kikwete
WAFUNGWA katika Gereza Kuu la Wanawake la Kingulwira, Morogoro wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwapa msamaha katika gereza hilo kwa sababu wamejirekebisha.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV06 Nov
Dk. Kikwete atoa msamaha kwa wafungwa 4,160
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyemaliza muda wake Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa msamaha kwa wafungwa 4,160, ambapo kati yao wafungwa 867 wataachiliwa huru na wengine 3,293 watapunguziwa vifungo vyao na kubaki gerezani wakitumikia sehemu ya kifugo kilichobaki.
Rais huyo wa serikali ya awamu ya nne, ametoa msamaha huo katika kuaga na kukabidhi madaraka ya serikali yake kwa serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na Rais Dr. John Pombe Magufuli.
Kabla ya kukabidhi madaraka, Rais...
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Msamaha kwa wafungwa uwekewe mfumo mpya
5 years ago
MichuziTHBUB: Msamaha kwa Wafungwa ni hatua muhimu kuzuia maambukizi ya Korona Magerezani
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli wa kuwasamehe wafungwa 3973 ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na Virusi vya Korona.
Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.
Alieleza kuwa msamaha huo ni muhimu...
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA, INASAIDIA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa kuwasamehe wafungwa 3973 uliofanywa na Rais Dk. John Magufuli (pichani) ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona.
Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.
Alieleza kuwa msamaha huo ni...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
JK awanyima msamaha wafungwa wa ujangili
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Wabunge waomba msamaha Hong Kong
5 years ago
Michuzi10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Kampuni yawaomba msamaha wanawake
5 years ago
MichuziWanawake Njombe wawapiga jeki mahabusu na wafungwa